johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #81
Uongo gani?Uongo utakusaidia nini ?
Uongo gani?Uongo utakusaidia nini ?
Sheria inasemaje juu ya hayo matukio uliyoyasema? Walionewa? Au we nae unapuyanga tu pasipo kujua!Kwa nini zamani hatukuwa na tatizo na Kenya? Kwa nini iwe tu zaidi katika awamu hii? Tazama kwanza upande wakoa kabla ya kutazama upande wa pili.
Hivi akiyekamata na kuchoma vifaranga wa kuku, ilikuwa ni Kenya au sisi?
Aliyekamata ng'ombe na kuwasweka ndani wafugaji, na kuwauza ng'ombe eti kwa vile tu wamevuka mpaka ilikuwa ni Kenya au sisi?
Rafiki yako amesali wapi, mbona hatujamskia kutupa madongo kanisani.Kenya inaitegemea zaidi Tanzania katika nyanja mbalimbali kuliko Tanzania inavyoitegemea Kenya katika mambo machache sana hasa soko la nafaka na matunda.
Ni vema tukaendelea kuheshimiana maana aliyeshika mpini anajulikana.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!
Piga hoja kwa kuleta hoja,sio kulalamika,wewe ambae sio mtanzania unasemaje juu ya Hilo?Watanzania tunapenda kujifariji kwa kauli za ajabu sana.
Kwa nini unatumia lugha ngumu na za matusi?!!,huwezi kutoa mchango wako kwa kutumia lugha ya kawaida tu na ukaeleweka?!,Uhusiano mbaya kati ya nchi hizi mbili, unatokana na utawala uliopo kuamini kwamba matumizi ya kauli za kibabe ndio suluhisho la mambo yote.
Kwa upumbavu huu, tayari urafiki wetu na Rwanda ni kama umekufa. Urafiki wetu na Kenya ndio hivyo tena.
Tumekuwa wehu, hata wahisani wetu tumekuwa tukiwaita majina ya kashfa na dharau kubwa.
Uongozi umekosa hekima.
No diplomacy at all
[emoji106][emoji106]Dunia ya leo ni kijiji, tunaishi kwa kutegemeana na diplomasia ni muhimu kuliko kuleta ushabiki wa Simba Vs Yanga kwenye mambo ya msingi. Mambo ya sijui, kutunishiana misuli, mara mimi ni bora kuliko wale yalishapita na wakati...
Mjinga ni yule asie jua kanuni na mbinu za medani ktk vita za kiuchumi,ni km wewe unapayuka mambo ya hovyo,utafikiri upo ktk kampeni za chadema na ccm, kwa sasa tupo ktk kampeini za kiuchumi Kati ya kenya na tanzania,wewe endelea kuota juaHatuwezi kupata soko jingine nje ya nchi kwa sababu Kenya wamesema Kwenye taarifa yao wamesema mahindi kutoka Tanzania yana sumu kuvu (aflatoxin) inayosababisha kansa. Sasa ni nchi gani itakubali kununua mahindi yetu watu wake wakaugue kansa?
Hili jambo ni matokeo ya uongozi wetu kuwa na kauli za kijinga kila wakati
Dr Mollel ameshamalizana na maaskofu kisayansi ndio maana leo hujaona barakoa nyingi Kanisani!Rafiki yako amesali wapi, mbona hatujamskia kutupa madongo kanisani.
Au umeufyata kwa Maaskofu.
Manake tokea abebe tofali na kuumia mkono mjini haonekani .
Chadema tangu Tundu Lisu atibiwe Nairobi wanajifanya na wao ni wakenya!Mjinga ni yule asie jua kanuni na mbinu za medani ktk vita za kiuchumi,ni km wewe unapayuka mambo ya hovyo,utafikiri upo ktk kampeni za chadema na ccm, kwa sasa tupo ktk kampeini za kiuchumi Kati ya kenya na tanzania,wewe endelea kuota jua
Acha kujilisha matango. Uchumi wa Kenya according to GDP ni mara mbili ya Tanzania. Wakati sisi ni usd 50b wao wanacheza above usd 100b. Halikadhalika,bajeti yao ni mara mbili ya Tz,ilihali population yao ni chini ya Tz kwa 10m. Mshahara wa mwalimu wa Kenya ni mara mbili ya ule wa Tz. Kwa data hizo chache hebu acheni kujifariji kwa vitu ambavyo havipo!Mkuu, wewe unewahi kutembelea vijiji vya Kenya na kuona raia wa kawaida wanavyo ishi? Aibu tupu, majisifu ndio mengi kuliko uhalisia.
Mimi usifikiri ni wa kiwango chako katika masuala ya biashara za kimataifa.Sheria inasemaje juu ya hayo matukio uliyoyasema? Walionewa? Au we nae unapuyanga tu pasipo kujua!
Mjinga ni yule asie jua kanuni na mbinu za medani ktk vita za kiuchumi,ni km wewe unapayuka mambo ya hovyo,utafikiri upo ktk kampeni za chadema na ccm, kwa sasa tupo ktk kampeini za kiuchumi Kati ya kenya na tanzania,wewe endelea kuota jua
TusujidanganyeKenya inaitegemea zaidi Tanzania katika nyanja mbalimbali kuliko Tanzania inavyoitegemea Kenya katika mambo machache sana hasa soko la nafaka na matunda.
Ni vema tukaendelea kuheshimiana maana aliyeshika mpini anajulikana.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!
Na kvunja katiba..Yes mnawashinda Kenya kwenye wizi wa kura.
Wewe ndio unajidanganya!Tusujidanganye
Kenya kila siku wanatengeneza katiba mpya na sasa wako kwenye BBINa kvunja katiba..
Kama wewe!Mnawazidi kwa kuwa na watu wasiojulikana wengi labda