Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

Kiukweli uchumi wa Kenya uko juu na wala tusipepese macho. Jiulize kwa nini Kenya ina makampuni zaidi ya 200 yaliyowekeza Tanzania na je Tanzania wana Makampuni mangapi yaliyopo Kenya? Nchi zote za Afrika Mashariki ni soko la bidhaa za Kenya. Uchumi haudanganyi.

Angalia takwimu za bajeti za Afrika Mashariki kwa mwaka 2019/20; Kenya Tsh 66.8 Trilion, Uganda Tsh 23.6 Trillion na Tanzania 30.4, Rwanda Tsh 6.8 Trilion, Burundi 1.8 Trilion na South Sudan Tsh 3.5 Trillion (ambayo jumla ya yote ni Tsh 66.1 Trilion). Picha unayopata ni kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko nchi zingine zote 4 za Afrika Mashariki yote zikiwekwa pamoja.
🙏🙏🙏 huu ndio ukweli mkuu.. asante
 
Tunahitaji uchambuzi yakinifu kabla ya kutoa statement kuwa TZ tupo mbali as compared to Kenya. Analysis za kiuchumi, kielimu nk. Tuache porojo porojo zinazoincline kwenye siasa.
 
Watanzania bado sana kuipita Kenya. Hata Hilo tuta la pale Tazara mnaloliita "MFUGALE Flyover" kwa Kenya siyo kitu utakuta hata kwenye magazeti. Wale wanazo Barbara za kidasa Kama Thika Highway au Barabara ya kwenda Mombasa ni hatari. Lakini huwezi msikia Uhuru Kenyatta anaongea popote.
Tunahitaji uchambuzi yakinifu kabla ya kutoa statement kuwa TZ tupo mbali as compared to Kenya. Analysis za kiuchumi, kielimu nk. Tuache porojo porojo zinazoincline kwenye siasa.
 
Mkuu, mimi nimezungumzia masuala ya kwenye grass root - labda nirudie kuuliza swali langu: Nime hoji hivi: Je,umewahi kutembelea vijiji vya Kenya ambako ndiko watu wana ishi kwa mwingi ukashuhudia maisha yao alisi yalivyo?

Mkuu, usichukulie takwimu za kibajeti kama ndio barometer /mwarobaini wa kuonyesha kiundani kila kitu.

Ukweli unabaki kwamba linapo kuja suala la Gap kati ya Kenyans HAVE and HAVE NOT inatisha asikwambie mtu - je, Tanzania hali hiko hivyo???? Labda tuanzie hapo kudadavua.
Kaka umeongea ukweli mtupu,nenda kijijii huko kenya,kuna umaskini wa kutupwa,wakenya waliowengi ni vibarua ktk mashamba ya matajiri,
 
Ujinga upi sasa mbona huutaji?
Kenya ipi unayoitaja wewe? Ulishawahi kufika kenya hata siku moja,!?, na km ulishawahi kufika ni sehemu gn hiyo?, kenya kumejaa umasikini na ufukara wa kutupwa,nenda vijiji huwezi kuamini,watu wanaufukara wa kutupwa,hivi dar kuna mtaa unaofanana na kibera wa Nairobi, au mabanda ya Nairobi,? Nitafutie mji uliojaa mafukara kwa tanzania km ilivyo kibera na mabanda za Nairobi,tuache unafiki,,
 
Uhusiano mbaya kati ya nchi hizi mbili, unatokana na utawala uliopo kuamini kwamba matumizi ya kauli za kibabe ndio suluhisho la mambo yote.

Kwa upumbavu huu, tayari urafiki wetu na Rwanda ni kama umekufa. Urafiki wetu na Kenya ndio hivyo tena.

Tumekuwa wehu, hata wahisani wetu tumekuwa tukiwaita majina ya kashfa na dharau kubwa.

Uongozi umekosa hekima.
No diplomacy at all
Ninakubaliana nawe kuhusu "uongozi wetu"; lakini kuwaita Kenya marafiki?

Huo urafiki wa kinafiki ni hatari zaidi.

Sema Kenya ni majirani, hatuna njia ya kuwasogeza mbali. Tutashirikiana nao kwa uangalifu, lakini urafiki? Hapana.
 
Kilichotaka kufanyika mwaka 1972 kuna siku KITAFANYIKA,hata kama sio leo,kesho inakuja
 
Hoja kwamba tutauza nchi zingine nayo ni kujipa matumaini tu. Mbona 2017 tulihangaika kutafuta soko hadi mahindi yakaharibika? Hizo nchi zingine hazikuwepo? Tusitoe majibu mepesi kwa maswali magumu. Manji alipoacha kununua Mbaazi tulisema serikali itanunua na kupeleka huko anakopelekaga Manji. Lakini nini kilitokea? Bei imeporomoka kutoka 3,000/= hadi TZS 200/= kwa kilo. Korosho mnakumbuka pia kilichotokea? Kwahiyo tusijipe matumaini. Hali itakua mbaya.

Hili jambo uelewi lolote.

Kauli za kijinga za viongozi wetu ndio matokeo yake
Sasa wewe unataka vipi mkuu 'mkiki'.

Mnunuzi ndio huyo unayemlilia kakataa mwenyewe, hajafukuzwa na mtu!

Tuendelee kukaa hapa tukimlilia Kenya atusamehe, kwa kosa gani?

Biashara hizi ndivyo zilivyo. Leo mnunuzi wako wa siku nyingi anakuterekeza, usikae chini na kubaki kulialia. Simama,

Ndio, viongozi wetu wanafanya makosa pia, kama hayo ya korosho, n.k., bila shaka wamejifunza jambo hapo.

Hilo la Manji na mbaazi naona huna ufahamu mzuri juu yake. Sio Tanzania pekee iliyolengwa.
 
Ninakubaliana nawe kuhusu "uongozi wetu"; lakini kuwaita Kenya marafiki?

Huo urafiki wa kinafiki ni hatari zaidi.

Sema Kenya ni majirani, hatuna njia ya kuwasogeza mbali. Tutashirikiana nao kwa uangalifu, lakini urafiki? Hapana.
Kwanini mliwapa zawadi ya tausi adui zenu?
 
Sasa wewe unataka vipi mkuu 'mkiki'.

Mnunuzi ndio huyo unayemlilia kakataa mwenyewe, hajafukuzwa na mtu!

Tuendelee kukaa hapa tukimlilia Kenya atusamehe, kwa kosa gani?

Biashara hizi ndivyo zilivyo. Leo mnunuzi wako wa siku nyingi anakuterekeza, usikae chini na kubaki kulialia. Simama,

Ndio, viongozi wetu wanafanya makosa pia, kama hayo ya korosho, n.k., bila shaka wamejifunza jambo hapo.

Hilo la Manji na mbaazi naona huna ufahamu mzuri juu yake. Sio Tanzania pekee iliyolengwa.

Wewe upo mjini?

Wa kulima wa Mbaazi na Korosho unajua wanaendelea vipi?

Magufuli na matatizo sema hamjui tu
 
Kilichotaka kufanyika mwaka 1972 kuna siku KITAFANYIKA,hata kama sio leo,kesho inakuja
Hapana.

Hicho hakitatokea, muda wake ulishapita. Hizi ni nyakati mpya kabisa.

Tutabaki tunavuruganavurugana hivi hivi, lakini maisha yanaendelea.

Hasa ukitilia maanani, uwezo wao unazidi kudidimia zaidi huku wa kwetu ukipanda haraka.

Enzi hizo, walitegemea sana Marekani na Uingereza, sasa hivi ni unafiki tu, hawana ukaribu wowote wa maana na nchi hizo.
 
Wewe upo mjini?

Wa kulima wa Mbaazi na Korosho unajua wanaendelea vipi?

Magufuli na matatizo sema hamjui tu
Mkuu 'mkiki', kwani nakataa mkuu wangu kuhusu matatizo ya wakulima wetu?

Hapa mimi simtetei Magufuli. Furaha yangu ni kama yako kuona wakulima wetu wanauza mazao yao kwa faida ili jasho lao lilipwe.

Nisichotaka ni kujidhalilisha kama nchi kumlilia mtu, tena mtu mwenye shida kubwa anapokuja na kukusimanga eti kwa vile anavihela vyake.

Lawama kubwa niliyo nayo ni kwa viongozi kutofanya bidii kubwa kuwatafutia wakulima soko, au kuwawezesha ili mazao yao yatumike kwa njia mbadala.
Kama hayo mahindi, kwani ni Kenya pekee wenye uhitaji wa mahindi?

Kwa nini tusitengeneze 'ethanol' ili tuweke kwenye magari yetu kama hatuwezi hata kufuga kuku wengi na kuwauzia hata hao Kenya na nchi zingine?

Jambo ninalokukatalia hapa, ni kumlilia Kenya kama ni mama au baba yako.
 
Uhusiano mbaya kati ya nchi hizi mbili, unatokana na utawala uliopo kuamini kwamba matumizi ya kauli za kibabe ndio suluhisho la mambo yote.

Kwa upumbavu huu, tayari urafiki wetu na Rwanda ni kama umekufa. Urafiki wetu na Kenya ndio hivyo tena.

Tumekuwa wehu, hata wahisani wetu tumekuwa tukiwaita majina ya kashfa na dharau kubwa.

Uongozi umekosa hekima.
No diplomacy at all
Uhusiano wetu na Rwanda umekufa nani kasema , Rwanda hawa sie tnawasaidia wataalam wa madini uhusiano umekufa , acha uongo
 
Kenya ipi unayoitaja wewe? Ulishawahi kufika kenya hata siku moja,!?, na km ulishawahi kufika ni sehemu gn hiyo?, kenya kumejaa umasikini na ufukara wa kutupwa,nenda vijiji huwezi kuamini,watu wanaufukara wa kutupwa,hivi dar kuna mtaa unaofanana na kibera wa Nairobi, au mabanda ya Nairobi,? Nitafutie mji uliojaa mafukara kwa tanzania km ilivyo kibera na mabanda za Nairobi,tuache unafiki,,
Unajitekenya na kucheka mwenyewe tu[emoji23][emoji23][emoji23], weka hapa mfano ya hizo vijiji unasema umefika nikuumbue, wivu na chuki ndio inazungumza hapa, hauna facts na uwache kuwadanganya wenzako, eti Kenya kumejaa umasikini wa kutupwa, peleka ujinga mbali, unasoma Mambo kwa mitandao na battle between Kenya na Tz unachukua Kama taarifa kamili, low IQ[emoji23][emoji23][emoji28], uko kila sehemu, I have read your tone already. Ukweli inakutesa sana [emoji23][emoji28], jikubali upone. Tanzania ni aibu EAC, mimebeba masikini wa kutupwa kwa wingi, inafaa ujiulize tatizo liko wapi?., Nawaelewa vizuri, watu Kama wewe ndio vibaraka wa CCM, huwezi kosoa ujinga wa serikali yenyu. Grow up ba mzee.
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe tu[emoji23][emoji23][emoji23], weka hapa mfano ya hizo vijiji unasema umefika nikuumbue, wivu na chuki ndio inazungumza hapa, hauna facts na uwache kuwadanganya wenzako, eti Kenya kimejaa umasikini wa kutupwa, peleka ujinga mbali, unasoma Mambo kwa mtandao na battle between Kenya na Tz unachukua Kama taarifa kamili, low IQ[emoji23][emoji23][emoji28], uko kila sehemu, I have read your tone already. Ukweli inakutesa sana [emoji23][emoji28], jikubali upone.
Badala ya kunitukana jibu hoja zangu ndugu,mie nimeishi nairobi zaidi ya miaka 11,robo tatu ya kenya nimeizungukia,nilikuwa naishi kamukunji, umaskini uliopo mabanda unaupata wapi kwa tanzania? Au ufukara uliopo kibera unaupata wapi ukiwa Dar?,ukiishiwa hoja tukana,lkn km uko na hoja jibu hoja,matusi ni kuonyesha udhaifu wako mbele za watu
 
Kushika mwongo ni rahisi sana, unaandika kishabiki, utoto nothing to substantiate. Wivu na chuki zisikunyonge kaka, hauijui Kenya zaidi ya mitandao, I can tell a Tanzanian who has lived in Kenya and a guesswork idiot like you. Eti robo tatu ya Kenya umeizunguka, hata hauna haya, unajifariji tu wewe, first of all you are poor, a well endowed and informed human being hana fikra za kishamba kama hizi zako., Stick to google tu, haujui lolote. Ama unataka proof?.,
 
Nilitembelea Mtwapa Mombasa aisee wachovu wako wa kutosha kabisa!
 
Jiheshimu kwanza ndipo uombe kuheshimiwa na wengine - this is Principal.
 
Nilitembelea Mtwapa Mombasa aisee wachovu wako wa kutosha kabisa!
Tofauti na uswahilini Tz iko wapi?[emoji28][emoji23][emoji23]., I know pwani ya Kenya na Tanzania zina maisha same sana, pia tabia na tamaduni, hali ya maisha, ni mandugu wale, utapata watanzania wengi wamezamia kule, kutofautisha si rahisi.
 
Back
Top Bottom