Tanzania tupo vizuri kwenye nini kati ya vitu 15 vifuatavyo?

Tanzania tupo vizuri kwenye nini kati ya vitu 15 vifuatavyo?

Ujibu swali la mleta uzi.
Mimi ni kiongozi kwahiyo kwa sasa msitegemee kuwa mnaniona naandika andika Sana

Labda ikitokea kuna jambo muhimu as well kuna PA wangu Atakuwa anapita pita humu

I'm too big now .
 
Hapa naongelea Tanzania nzima, sio tu Tanganyika
Yani naongelea hii nchi yetu yote (Tanganyika+Zanzibar) ambayo imebakiza miezi minne kusherehekea miaka 62 ya Muungano

Katika vitu vifuatavyo, ndani ya hii miaka yote 62 tuliyoungana nataka niulize Tanzania tupo vizuri kwenye nini kati ya vitu vifuatavyo

1. Afya

2. Elimu

3. Maji

4. Barabara

5. Uchimbaji madini

6. Viwanda

7. Biashara na uchumi

8. Kipato cha watu

9. Ujenzi wa miji

10. Umeme

11. Kilimo na Ufugaji

12. Matumizi ya nishati safi

13. Usafi wa mazingira yetu tunayoishi

14. Sayansi na Teknolojia

15. Uwekezaji

Kwa sababu hivi ndio mhimili wa nchi, naomba kuelewa kwa miaka yote hii 60+ ni kipi hata kimoja hapo tupo vizuri sisi kama taifa?
We are good in nothing. Sekta pekee ambayo naona inakua ni sekta ya imani. Ukipita mitaani kuna utitiri wa makanisa na kila siku manabii wapya wanaibuka
 
Mimi ni kiongozi kwahiyo kwa sasa msitegemee kuwa mnaniona naandika andika Sana

Labda ikitokea kuna jambo muhimu as well kuna PA wangu Atakuwa anapita pita humu

I'm too big now .
Ukiwa too big unakua huna majibu, huwezi kujibu au hujui majibu??
 
Back
Top Bottom