Tanzania tutapata maendeleo lini kama mijadala ni Simba, Yanga na Diamond?

Tanzania tutapata maendeleo lini kama mijadala ni Simba, Yanga na Diamond?

Inasikitisha Sana kwenye vijiwe vya kidigitali

Story ni Simba na yanga

Radio na tv ni kutangaza michezo na nyimbo chafu na ku promote makampuni ya betting( kamali)

Mijadala ya kitaifa hakuna hivi tutakuja kupata maendeleo kweli?
Maendeleo ni issue personal kipindi wewe unaamka asubuhi kunywa kahawa kwenye kijiwe huku mukibishana mikataba ya akina Aziz K,wenzako wanaamka asubuhi kuona namna gani wataitumia yanga kuingiza Pesa,
 
Koh koh konde boi ko mi namba waaan baaakhresaa
 
Inasikitisha Sana kwenye vijiwe vya kidigitali

Story ni Simba na yanga

Radio na tv ni kutangaza michezo na nyimbo chafu na ku promote makampuni ya betting( kamali)

Mijadala ya kitaifa hakuna hivi tutakuja kupata maendeleo kweli?
Wee uliambiwa maendeleo yanaoatikana kwenye mijadala redioni?
Maendeleo yanapatikana vyuoni huko mzee
 
hii ni huzuni sana kwa maendeleo ya mwananchi wa kawaida, wa taifa hili. tatizo linakuja kwamba hata ukimshauri kijana mwenzako aachane na hayo mambo afanye ishu za MSINGI anakuona ww ndio MSHAMBA. wadau wa hayo mambo ni VICHWA NGUMU kuelimishwa. hakuna namna zaidi ya kusema WATAJUA WENYEWE kila mtu apambane na hali yake kujikomboa mwenyewe KIUCHUMI.
 
Inasikitisha Sana kwenye vijiwe vya kidigitali

Story ni Simba na yanga

Radio na tv ni kutangaza michezo na nyimbo chafu na ku promote makampuni ya betting( kamali)

Mijadala ya kitaifa hakuna hivi tutakuja kupata maendeleo kweli?
kwenye maandamano alitokea mbowe na binti yake..tulia ule maudhui ya kujenga machawa
 
Vyovyote vile naamini miaka 20 au 30 watu hawatakuwa hivi.

Na kitu kikubwa ni elimu tu, watu wanaamini viongozi wakiiba hela wanawaumiza ACT, CUF na CHAUMMA, kumbe ile inatuumiza wananchi wote. Ikipitia hizi report za CAG na ukafuatilia jinsi raia tunavyochukulia ni tofauti.

Kwasbabu kwenye hili serikali ndiyo mnufaika, so badala ya kulalamika kila siku, vyama pinzani vinatakiwa viwekeze kwenye kutoa elimu juu ya hili. Internet ina nguvu sana😛odcasts, youtube, tiktok, instagram, twitter (huku wanajitahidi kidogo), facebook na njia tofauti pia.

Mi naaminigi siku zote watu wakipewa elimu watafanya maamuzi sahihi.
 
Back
Top Bottom