Vyovyote vile naamini miaka 20 au 30 watu hawatakuwa hivi.
Na kitu kikubwa ni elimu tu, watu wanaamini viongozi wakiiba hela wanawaumiza ACT, CUF na CHAUMMA, kumbe ile inatuumiza wananchi wote. Ikipitia hizi report za CAG na ukafuatilia jinsi raia tunavyochukulia ni tofauti.
Kwasbabu kwenye hili serikali ndiyo mnufaika, so badala ya kulalamika kila siku, vyama pinzani vinatakiwa viwekeze kwenye kutoa elimu juu ya hili. Internet ina nguvu sana😛odcasts, youtube, tiktok, instagram, twitter (huku wanajitahidi kidogo), facebook na njia tofauti pia.
Mi naaminigi siku zote watu wakipewa elimu watafanya maamuzi sahihi.