Kevo, sio mimi. Soma vizuri maelezo:
Uchambuzi wa: https://www.jamiiforums.com/showthrea...428#post265428 (Unaweza kuongeza majina unayoyajua katika thread hii) unaonyesha kuwa listi ya Matajiri Tanzania ni hii iliyopo hapa chini.
http://nobelprize.org/nobel_prizes/peace/laureates/2006/presentation-speech.html said:
"The Norwegian Nobel Committee has decided to award the Nobel Peace Prize for 2006, divided into two equal parts, to Muhammad Yunus and Grameen Bank for their efforts to create economic and social development from below. Lasting peace can not be achieved unless large population groups find ways in which to break out of poverty. Micro-credit is one such means. Development from below also serves to advance democracy and human rights."
Alimshangaa Rais Jakaya Kikwete kutoa mikopo maarufu kama ya mabilioni ya JK kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania na kuonya kuwa hali hiyo ni hatari na itawalemaza wananchi.
Tunapochukua fedha tunasambaza kwenye Saccos na kwa machinga hii nchi tunaiharibu fedha za JK hazitarudi, yeye anasema zitarudi namshangaa Tanzania yenyewe ina madeni na serikali haina tabia ya kurudisha madeni. Je, kwa mtu mmoja mmoja itarudi? Wanasema ni zawadi za uchaguzi.
Katika hilo, alisema kuna haja ya Tanzania kutafuta namna ya kuwatajirisha matajiri wachache, ili waweze kuendeleza wengine kuliko kutoa mikopo kwa kila mtu.
Niliwaambia bungeni kama serikali imeshindwa kufufua viwanda wanipe nifufue .narudia tena serikali nipeni viwanda Moshi nifufue
..
Huyo Mbowe hizo fweza mnahesabia na zile anazodaiwa na NSSF? Na huyo kajumulo vipi kweli ana pesa ya kuingia kwenye orodha?? Naona mmemsahau Mjasiliamali Basil Pesambili Mramba hapo
Tunapochukua fedha tunasambaza kwenye Saccos na kwa machinga hii nchi tunaiharibu fedha za JK hazitarudi, yeye anasema zitarudi namshangaa Tanzania yenyewe ina madeni na serikali haina tabia ya kurudisha madeni. Je, kwa mtu mmoja mmoja itarudi?
I dont agree with this statment, evidence shows at all levels kwamba the low income population have a lower default rate then Higher income individualds and tend to respect sheria zaidi because they know its all they can do kwenye Tanzania yetu ya "wananchi" na "wenyenchi".
Uchambuzi wa: https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=265428#post265428 (Unaweza kuongeza majina unayoyajua katika thread hii) unaonyesha kuwa listi ya Matajiri Tanzania ni hii iliyopo hapa chini.
Ingawa hakuna takwimu juu ya utajiri walionao na kiasi gani cha pesa walichonacho, swali la msingi ni: Je tunajifunza nini kutokana na jitihada zao za biashara au kupata utajiri? Je, inawezekana Watanzania wengine wakafanya jitihada na kufanikiwa kama wao?
The List
- Said Salim Bakhressa: AZAM - Grain milling, corporate finance, passenger sea transportation, plastic packaging, marketing, polypropylene bags, other branches of engineering field, food industry, drinking water
- Aziz Abood: Abood buses,factories,truck company,tv&radio,properties)
- Nasoro: Doll trailers, superstar buses, royal buses, major shareholder-mtibwa sugar,kagera sugar, city water, truck company, properties
- Mohamed Dewji: Mohamed enterprises, factories, properties
- Rostam Aziz: Caspian; Vodacom
- Reginald Mengi: The IPP Group, Financial Consulting firm (IPP Consulting), Coca-Cola (Coca-Cola Kwanza, Bonite Bottlers and Kilimanjaro Spring Water), (IPP Bodycare Ltd (IPP Media). These include The Guardian Ltd; Nipashe, Alasiri, Kasheshe, Independent Television Ltd. (ITV), East Africa Television (EATV, formerly Channel 5)), Radio ONE, Sky-FM (in a joint venture with BBC) and East Africa Radio.
- Michael Ngaleko: Presicion Air Ltd
- Fidahussein: Africarriers,properties including heidary plaza, raha towers, zahra towers etc
- Yusuph Manji: Quality Group; Properties, Trucks
- Andrew Chenge: Worth US$ 1million (over 1 billion Tanzania shillings) in an overseas offshore account
- Nazir Mustafa Karamagi: Tanzania International Container Terminal
- Edward Ngoyayi Lowassa
- Mohammed Aboud
- Tarimba Abbas
- Philemon Ndesamburo
- Alex kajumulo
- Freeman Mbowe
Matajiri wa Tanzania wezi - Ndesamburo
na Ratifa Baranyikwa, Dodoma
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
Alimshangaa Rais Jakaya Kikwete kutoa mikopo maarufu kama ya mabilioni ya JK kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania na kuonya kuwa hali hiyo ni hatari na itawalemaza wananchi.
Tunapochukua fedha tunasambaza kwenye Saccos na kwa machinga hii nchi tunaiharibu fedha za JK hazitarudi, yeye anasema zitarudi namshangaa Tanzania yenyewe ina madeni na serikali haina tabia ya kurudisha madeni. Je, kwa mtu mmoja mmoja itarudi? Wanasema ni zawadi za uchaguzi.
Hii tabia ya kugawa fedha kama karanga inadumaza watu, inalemaza badala ya kufanya uchumi ukue unalemaa fedha ipo tunakosa Management, ni nini tunafikia huko tunakuwa taifa la kuomba omba. Kisaikolojia ukifikiri wewe ni maskini utakufa maskini, alisema.
Katika hilo, alisema kuna haja ya Tanzania kutafuta namna ya kuwatajirisha matajiri wachache, ili waweze kuendeleza wengine kuliko kutoa mikopo kwa kila mtu.
Aidha, alisema njia pekee ya kuondokana na utaratibu mbovu wa kutozingatia taratibu wa kibiashara ni kuwa na utaratibu wa kutumia mtaji wa kuanzia biashara.
Unapokuwa kwenye venture capital itakudhibiti ukikopa fedha kwa ajili ya kujenga shule utajenga shule kuliko ilivyo hivi sasa, unakopa fedha kwa ajili ya kujenga shule zikija unajenga kiwanda na ndiyo kitu kinachotushinda katika kuleta maendeleo na hili jambo tukianza kila mkoa tutaendelea, alisema.
Akizungumzia viwanda ambavyo vimekufa katika jimbo lake la Moshi, Ndesamburo alisema kama serikali imeshindwa kuendeleza viwanda katika jimbo hilo wampe, ili aweze kuvifufua na hatimaye wakazi wa Moshi waweze kufaidika.
Niliwaambia bungeni kama serikali imeshindwa kufufua viwanda wanipe nifufue .narudia tena serikali nipeni viwanda Moshi nifufue niviendeleze nitafute wawekezaji, vurugu zitakuwa hakuna kama tunataka viwanda viendelee, serikali ifikiri upya kuwasaidia Watanzania, alisema.
Aidha, mbunge huyo amelalamikia njia ya reli inayopita Moshi kufungwa na kuhoji sababu ya kutoiendeleza njia hiyo.
Njia ya reli ya Moshi imefungwa na ni sehemu kubwa ya uchumi wa nchi yetu, ingekuwa inafanya kazi Burundi wangeitumia na nchi nyingine katika kusafirisha mizigo kutoka katika Bandari ya Mombasa hivi tumepungukiwa akili au maarifa? Mi nafikiri tumepungukiwa kiitikadi, alisema.
Ukabila, udini, ...Kama hii ndio listi basi tunaweza kabisa kusema kuwa kuna unfair wealth distribution na kimtizamo hapo juu ni waarabu,wahindi na waislam tu huku kukiwa na token kama mbili tatu hivi za wachagga...Na ndio maana kweli kuna mvurugano ambao wana ccm wanadai kuwa ni wa wafanya biashara....KWA MFANO TOP FIVE YOTE NI WAARABU/WAISLAM.
Ukabila, udini, ...
Bora ungeuliza kama wanalipa kodi? au wadaiwa na taasisi za fedha? au labda ni pesa za EPA?