Ukisikia wali mlenda ndio huu sasa, mbona kle Uganda wachezaji wetu walienda kwa basi [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Kwakweli
Hizi zote Ni juhudi za serikali yetu pendwa ya awamu ya 5
HIZI NI HABARI MBAYA SANA KWA CHADEMA, WEZI NA WALE WAPIGA DILi
Nini future ya wachezaji Hawa?
Chadema kaingiaje tena hapa....?Kwakweli
Hizi zote Ni juhudi za serikali yetu pendwa ya awamu ya 5
HIZI NI HABARI MBAYA SANA KWA CHADEMA, WEZI NA WALE WAPIGA DILi
Walienda kwa basiUkisikia wali mlenda ndio huu sasa, mbona kle Uganda wachezaji wetu walienda kwa basi [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Utaelewa tuChadema kaingiaje tena hapa....?
Inasikitisha sanaNikiwakumbuka vijana hawa wala hata sishangilii ubingwa huu maana sioni future ya taifa stars.
1 Mohamed Hussein gk copa coca cola 2008
2 kabal faraj gk copa coca cola 2008
3 leodgar Ngonyani center back copa coca cola 2008
4 Lambele Jerome center back copa coca cola 2008
5 Dotto Wilson na pacha wake kulwa Wilson fullbacks copa coca cola 2008
Na wengine wengi walioipelekea Tanzania Brazil na kutwaa ubingwa
Huyo Mohammed Hussein nilitegemea amreplace Ivo lakin alipotoka hakupata kusikika mpaka Leo alikuwa akiidakia Mwanza copa coca cola 2008Inasikitisha sana
Kwa kuwa funga timu walizocheza naoSomalia wamefikaje fainali???