Naumizwa sana ninapoona jitihadaa za vijana hazisaminiwi hata mara baada ya wao kujitoa kulipigania taifa lao, halafu mtu fulani anasimama jukwaani na kutangaza viajana hawana uzalendo, ilhali walioonesha uzalendo hawasthaminiwi.Huyo Mohammed Hussein nilitegemea amreplace Ivo lakin alipotoka hakupata kusikika mpaka Leo alikuwa akiidakia Mwanza copa coca cola 2008
Mkuu siku hizi sikuelewi....Kwakweli
Hizi zote Ni juhudi za serikali yetu pendwa ya awamu ya 5
HIZI NI HABARI MBAYA SANA KWA CHADEMA, WEZI NA WALE WAPIGA DILi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu siku hizi sikuelewi....
Naona ni mwendo wa kuisifia serikali ya bwana magufuli....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwann mkuu
Chizi wwKwakweli
Hizi zote Ni juhudi za serikali yetu pendwa ya awamu ya 5
HIZI NI HABARI MBAYA SANA KWA CHADEMA, WEZI NA WALE WAPIGA DILi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona ni mwendo wa kuisifia serikali ya bwana magufuli....
Halafu jukwaa pendwa sikuoni siku hizi mkuu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Chizi ww
Tanganyika, Zanzibar ilifitiniwa mapema.ni Tanzania au Tanganyika ?
Somalia wamefikaje fainali???
hapo ndipo tunapoaribu kabisa kuchanganya mpira na Siasa ndio maana kwenye football tunaboronga daily kwaajili ya kuchanganya.Kwakweli
Hizi zote Ni juhudi za serikali yetu pendwa ya awamu ya 5
HIZI NI HABARI MBAYA SANA KWA CHADEMA, WEZI NA WALE WAPIGA DILi
Mapu..... zo wewe!!Kwakweli
Hizi zote Ni juhudi za serikali yetu pendwa ya awamu ya 5
HIZI NI HABARI MBAYA SANA KWA CHADEMA, WEZI NA WALE WAPIGA DILi