Tanzania U17 (Serengeti Boys) Mabingwa wa kombe la CECAFA U17

Tanzania U17 (Serengeti Boys) Mabingwa wa kombe la CECAFA U17

Huyo Mohammed Hussein nilitegemea amreplace Ivo lakin alipotoka hakupata kusikika mpaka Leo alikuwa akiidakia Mwanza copa coca cola 2008
Naumizwa sana ninapoona jitihadaa za vijana hazisaminiwi hata mara baada ya wao kujitoa kulipigania taifa lao, halafu mtu fulani anasimama jukwaani na kutangaza viajana hawana uzalendo, ilhali walioonesha uzalendo hawasthaminiwi.
 
Naona ni mwendo wa kuisifia serikali ya bwana magufuli....

Halafu jukwaa pendwa sikuoni siku hizi mkuu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nipo mkuu,

Sema kazi znanibana

Ila nnapoamua kurelax

Mara nyng napenda kuja huku kuondoa stress za Mrusi&mihangaiko ya HAPA na pale

Aisee,
Hii inchi ukichukulia kila kitu "too serious"

Basi utakuja kujikuta kwny frastreshen kubwa sana.

" The Closer you look, The less you see"
 
Hongera u 17 mmecheza vizuri,.nimefatilia live kitega magoli yote na watanzania wote.tulikua kitega
 
They deserve...
Hongera nyingi ziende kwao
Bench la ufundii
Wachezajii...
 
Hongera kwao na wote

Inashangaza leo ilikuwa Simba na Yanga kila kona

Huku kulikuwa na cha kutwaa ubingwa.. y wahusika hawakutangaza hili kwa sanaaaa?
 
Kwakweli
Hizi zote Ni juhudi za serikali yetu pendwa ya awamu ya 5

HIZI NI HABARI MBAYA SANA KWA CHADEMA, WEZI NA WALE WAPIGA DILi
hapo ndipo tunapoaribu kabisa kuchanganya mpira na Siasa ndio maana kwenye football tunaboronga daily kwaajili ya kuchanganya.
 
Back
Top Bottom