Pyepyepye
JF-Expert Member
- Jan 6, 2017
- 1,940
- 3,834
Naumizwa sana ninapoona jitihadaa za vijana hazisaminiwi hata mara baada ya wao kujitoa kulipigania taifa lao, halafu mtu fulani anasimama jukwaani na kutangaza viajana hawana uzalendo, ilhali walioonesha uzalendo hawasthaminiwi.Huyo Mohammed Hussein nilitegemea amreplace Ivo lakin alipotoka hakupata kusikika mpaka Leo alikuwa akiidakia Mwanza copa coca cola 2008