Tanzania ugonjwa ni mtaji wa kuomba inatia huruma sana

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ...

Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio inakuwa mtaji wake tena kuingia barabarani na kuomba hii sio sawa kabisa
 
Nina rafiki yangu tulikutana fb kwao ni Cameroon tulikuwa tunatafuta wote mtaji sehemu mbali mbali duniani Hadi tuka chemka,yeye amejiunga na biashara ya forex network Hadi Sasa ktk akaunti yake amefikisha $4800,juzi kaniuliza Mimi nimefikia wapi,ukweli nilimwambia Mimi natafuta $6500 Ila kwa Sasa Nina pesa ya kitz 1200,000/- akaniomba nimpe $200 azungushe mwezi mmoja ili aje snipe hiyo $6500/- naomba wajuzi was Mambo je? Nimpe au nitapigwa hiyo hela,ukweli ninashida na hela Sana $6500
 
too good to be true....usimpe, usiwe loyal kiasi hicho mkuu, tena kwa mtu ambaye haujawahi kumuona na kukaa nae ukamjua vyema.
 
Back
Top Bottom