Nina rafiki yangu tulikutana fb kwao ni Cameroon tulikuwa tunatafuta wote mtaji sehemu mbali mbali duniani Hadi tuka chemka,yeye amejiunga na biashara ya forex network Hadi Sasa ktk akaunti yake amefikisha $4800,juzi kaniuliza Mimi nimefikia wapi,ukweli nilimwambia Mimi natafuta $6500 Ila kwa Sasa Nina pesa ya kitz 1200,000/- akaniomba nimpe $200 azungushe mwezi mmoja ili aje snipe hiyo $6500/- naomba wajuzi was Mambo je? Nimpe au nitapigwa hiyo hela,ukweli ninashida na hela Sana $6500