nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,124
- 1,839
Serikalini unaweza ukakaa miaka mitano hamna nyongeza ya mshahara huku gharama za maisha zikipanda kila kukichaVipi nafasi ya kukua?
Ukimkuta mtu anaingiza million leo, biashara isipokufa basi mwakani haiwezi kuwa milioni tena.
Itakuwa imeongezeka....
Nawaangalia tu wanavyoropoka. Ujujaji mwingi sanaHakika. Biashara kuanza nayo toka chini ukiwa ziro kabisa si rahisi kama wengi wetu tunavyodhania humu.
Ni kweli nakubali lakini kujiajiri kunaleta stress asikuambie mtu, mimi nilijifanya kukataa kwenda naona mambo yanakuwa magumu zaidi najuta kila siku naumiza akili.serikalini unaweza ukakaa miaka mitano hamna nyongeza ya mshahara huku gharama za maisha zikipanda kila kukicha
mtu mvivu, asiye mbunifu, unayeridhika na kidogo, usiyefikiria mambo makubwa, ajira ya serikali inaweza ikawa nzuri. Lakini kwa wachapa kazi, wabunifu na mtu mwenye mawazo makubwa kimaendeleo, kujiajiri is the best ever! Nilisikia mzazi mmoja akisema mtoto huyu namwombea Mungu tu aajiriwe hasa serikalini maana hataweza kujiajiri kwa maana ni mzembe!Ni kweli nakubali lakn kujiajiri kunaleta stress asikuambie mtu, mimi nilijifanya kukataa kwenda naona mambo yanakuwa magumu zaidi najuta kila siku naumiza akili.
Kwamba hukwenda Kuripoti acha fix basiAcha dharau mkuu, nimefanya biashara sana na nina jua risk za biashara, siongelei ushabiki kaa na unavyojua, nilipata kazi serikali sikwenda kwa ujinga wng sasa najuta.
Mimi kwa experience yangu ya maisha naona wafanyabiashara wengi maisha nyumbani mazuri, wakati tupo wadogo ukiingia tu sebuleni kwa mfanyabiashara una notice utofauti na kwenu au nyumba za waajiriwa, nyumba za wafanyabiashara huwa zina vitu excess yani sebuleni kuna accessories ambazo muajiriwa ngumu kuwa nazo, nje usafiri wa kutosha alafu mara nyingi nyumba huwa wamejenga wao sio kupanga. Watoto wapo private schoolsKuna watu nawajua tangia nipo shule ya msingi wanaondoka majumbani saa 12 asubuhi kwenda kuuza dukani mpaka saa 2 usiku.
Ni ndoto za wazazi wengi kutaka tuajiriwe serikali hata mimi nilipata wakati mgumu nilipogoma kwenda kwenye ajira za serikali kwa kubweteka na mishe zangu lakini najuta, kuna waajiriwa pia wanafanya mishe zao pia.mtu mvivu, asiye mbunifu, unayeridhika na kidogo, usiyefikiria mambo makubwa, ajira ya serikali inaweza ikawa nzuri. Lakini kwa wachapa kazi, wabunifu na mtu mwenye mawazo makubwa kimaendeleo, kujiajiri is the best ever! Nilisikia mzazi mmoja akisema mtoto huyu namwombea Mungu tu aajiriwe hasa serikalini maana hataweza kujiajiri kwa maana ni mzembe!
Huu ukweli wanaukwepa..mtu mvivu, asiye mbunifu, unayeridhika na kidogo, usiyefikiria mambo makubwa, ajira ya serikali inaweza ikawa nzuri. Lakini kwa wachapa kazi, wabunifu na mtu mwenye mawazo makubwa kimaendeleo, kujiajiri is the best ever! Nilisikia mzazi mmoja akisema mtoto huyu namwombea Mungu tu aajiriwe hasa serikalini maana hataweza kujiajiri kwa maana ni mzembe!
Acha kujifanya unanijua fala wewe, twende kwenye battle zetu.Kwamba hukwenda Kuripoti acha fix basi
Mkuu, wafanyabiashara wenye assets kama Ardhi nk hawawezi kupata mkopo kiurahisi ? Tuchukulie mfanyabiashara wa kipato cha kawaida anayeingiza faida milioni 3 kila mwezi, huyu atapata ugumu kupewa mikopo ?Faida za kuajiriwa Serikalini
1. Rahisi kupata visa ya nchi yeyeto wanaamini huwezi zamia
2. Kwa mangi unakopa bila shida
3. Unakopa bank
4. Ukiimwa mda mrefu unaendelea tu kula mshahara kitandani
5. Job security kufukuzwa ni process
6. Ruhusa ya kusoma ndani au nje
7. Ukisimamishwa kazi mshahara na maslai yako pale pale ,huku ukiwa na mda wa kutosha kufanya mishe zako mfano bize na shule, biashara au kuajiriwa private company
8. Likizo bila malipo
9. Hela ya pension uzeeni ukistaafu inaingia tu muhimu upambane uwe mkubwa piga tu shule pesheni yako ya mwezi unamzidi graduate.
Saizi nimetoka kujaza dokezo la posho 900k π€£π€£π€£π€£π€£Acha kujifanya unanijua fala wewe, twende kwenye battle zetu.
Mjinga sana, hizo posho unapewa na mwajiri wako? Hizo ni posho au mshahara?Saizi nimetoka kujaza dokezo la posho 900k π€£π€£π€£π€£π€£
Huyu Sanga store namuona sana FB, ana duka kubwa sana huko kariakoo ?Wamachinga wapambanishwe na walimu.. mawaziri na kina sanga store Kariakoo
Mkuu wa wilaya gani kampa bakora mwalimu[emoji23], walimu wanaonewa sanaUsisahau pia aliyejiajiri anafanya kwa moyo na kwa ubunifu, wakati Serikali wanaenda kwa sababu ya mshahara mseleleko, majungu fitina na ulozi ni mwingi huko ajirani kuliko kwa aliyejiajiri, manyanyaso na matusi kwa bosi ni kawaida, si unaona mpaka mkuu wa wilaya anamtandika fimbo mwalimu hahaha ndio raha hiyo eeee
Posho ya kazi, unadhani Mimi nafanya kazi Halmashauri? ππππ?Mjinga sana, hizo posho unapewa na mwajiri wako? Ni posho au mshahara?
Siku hizi umekuwa fundi Johnπππππ, ukizeeka utaweza kubeba matofari na mawe?Posho ya kazi, unadhani Mimi nafanya kazi Halmashauri? ππππ?View attachment 2785259View attachment 2785257
Sasa jitahidi newewe kuweka mazingira Mazuri ili watoto wako wapate mteremko mbeleni.Wengine humu mnasema biashara sio ngumu wakati mmekuta alishakufungulia baba yako kafanya kukuachia urithi. Umekuta foundation imekaa vizuri we kazi kusugua kisigino tu Mtupishe
Mkuu, wafanyabiashara wenye assets kama Ardhi nk hawawezi kupata mkopo kiurahisi ? Tuchukulie mfanyabiashara wa kipato cha kawaida anayeingiza faida milioni 3 kila mwezi, huyu atapata ugumu kupewa mikopo ?