Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

Kwa hiyo kujiajiri ni duka tu. Wengine tunafanya shuguli za msimu unatengeneza pesa ya kula mwaka mzima ndani ya miezi minne . Mfano biashara ya kununua mazao
Wewe fisadi hujambo?. Toka ule teuzi unashaur vijana ujinga tu... wajiajiri wabeti au
 
Aliyejiajiri akumwa utamuonea huruma hata Bima ya Afya hana

😆😆😆

Ukiwasikia sasa mtaani maisha yakiwapiga
1. Kuajiriwa ni utumwa
2. Kuajiriwa unakosa uhuru- wakati anaamja saa kumi na moja asubuhi anarudi saa nne usiku- kuna uhuru gani hapa

Hawajiulizi Nikki wa Pili akiona wivu kwa wanaaheria wanapiga michongo ya pesa ndefu huku yeye alisoma masters ya sociology kakosa ajira alianza nyimbo za kuwananga walioajiriwa akaja na wimbo wa

  • Mimi sitaki kuajiriwa
  • Sitaki kutumwa natama kujituma
  • Sitaki kazi, sitaki kuajiriwa

Alipopata upenyo wa DC hakugeuka nyuma na music akatupa kule.

We huoni Mtoto waMjini na michongo yake kaamua kuwa mtumishi wa Umma Ms Jokate?

Chawa woote wanatafuta ajira serikalini.
90% workforce Tanzania ni walojiajiri kwenye kilimo, machinga, chips, dagaa na samaki, bodaboda na mitumba wamechoka vibaya mno.
Mkuu Nikki Sio Mtumishi wa umma.
Jokate sio mtumishi wa umma.

Hao wote hawana Check Number, Jokate ni Mwanasiasa anayetumikia Chama chake.

Wamejiajiri kwenye siasa.
 
Mkuu Nikki Sio Mtumishi wa umma.
Jokate sio mtumishi wa umma.

Hao wote hawana Check Number, Jokate ni Mwanasiasa anayetumikia Chama chake.

Wamejiajiri kwenye siasa.
Umejitahidi sana kuwatetea.
 
Mkuu Nikki Sio Mtumishi wa umma.
Jokate sio mtumishi wa umma.

Hao wote hawana Check Number, Jokate ni Mwanasiasa anayetumikia Chama chake.

Wamejiajiri kwenye siasa.
Acha uongo mkuu, kuajiriwa maanake unapokea pesa at a given time yaani weekly, monthly etc.

Sasa ukisema wamejiajiri wakati hawana uwezo wa kuamka kesho wakasema hawaendi kazini unakuwa hueleweki.
 
Acha uongo mkuu, kuajiriwa maanake unapokea pesa at a given time yaani weekly, monthly etc.

Sasa ukisema wamejiajiri wakati hawana uwezo wa kuamka kesho wakasema hawaendi kazini unakuwa hueleweki.
Maana nyingine ni kuwa unapokea maagizo kutoka kwa mtu mwingime mwenye mamlaka juu yako kwenye utendaji kazi wako.
 
Acha uongo mkuu, kuajiriwa maanake unapokea pesa at a given time yaani weekly, monthly etc.

Sasa ukisema wamejiajiri wakati hawana uwezo wa kuamka kesho wakasema hawaendi kazini unakuwa hueleweki.
Nafikiri mkuu hujamuelewa mtoa mada, yeye anawazungumzia walioajiriwa katika utumishi wa umma, Yaani Boss wao ni Katibu Mkuu Kiongozi Direct, Nikki na Jokate wao Katibu Mkuu Kiongozi sio Boss wao, hana uwezo wa kuwafuta kazi.

Nikki Boss wake ni Rais, Jokate Boss wake ni Mwenyekiti wa Chama chake.
 
Back
Top Bottom