Tanzania ukisoma tu, umetangaza vita na Serikali

Tanzania ukisoma tu, umetangaza vita na Serikali

Tanzania ya sasa ukisoma tu,hasa ukifika level ya degree na kuendelea utakiona cha mtema kuni.ni bora uishie darasa la pili kama doto magari infolensa.
Ni ajabu kwamba Tanzania hii wasomi ndio hawapewi vyeo wanapewa wapiga debe wa CCM.
 
Ajabu sana matumaini ya kupata ajira hasa walimu wa kiswahili, history, biology, civics, yanazidi fifia siku adi siku kwa walio maliza hasa 2017-2022.

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom