Tanzania ukitaka kutajirika wekeza kwa wajinga na masikini

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
TANZANIA UKITAKA KUTAJIRIKA WEKEZA KWA WAJINGA NA MASIKINI.

Anaandika Robert Heriel,
Mtibeli.

Taikon Leo sina mengi maneno. Leo ni Kwa wale wanaopenda kuwa na pesa lakini hawaelewi wazipataje. Taikon sio mchoyo wa maarifa hilo hata ninyi ni mashahidi.
Haya nilisema sina maneno mengi, turudi Madani.

Ukiishi Tanzania au nchi za Aina ya Tanzania ili uwe tajiri basi itakupasa ufuate baadhi ya kanuni.
Kanuni moja muhimu ni kujua Mazingira na watu wa eneo husika. Hiyo ndio kanuni namba moja ya uchumi na biashara.

Ukiwa nchi Masikini wekeza Kwa Masikini, ukiwa nchi Tajiri wekeza Kwa matajiri.
Ukiwa nchi za wajinga wekeza Kwa wajinga na ujinga wao.
Ukiwa nchi za werevu wekeza Kwa weerevu katika werevu wao.

Huwezi wekeza mambo ya Akili katika nchi za wajinga, na kamwe huwezi wekeza mambo ya ujinga katika nchi za wenye Akili. Utafeli vibaya Sana.

Yapo mambo wapendayo masikini wekeza mambo hayo Kwa masikini.
Yapo mambo wapendayo Wajinga wekeza huko.

Mfano, huwezi anzisha Tuition katika Mikoa ya Lindi na mtwara au Morogoro. Utakwama mapema Sana. Tuition anzisha Moshi, DSM, bukoba huko utapata wateja.

Utajiri wa Tanzania umejificha kwenye ujinga na umasikini. Labda nimetoboa Siri.

Namna ya kuwekeza kwenye Wajinga na Masikini uwapo TANZANIA;

1. Usipende kufanya mambo ya Akili uwapo Tanzania.
Fanya ujingaujinga usipokuwa tajiri niite Mbuzi Mee!

2. Usipende kufanya mambo ya Haki

Kuwa Tapeli, kuwa mdhulumaji, mambo hayo ndio sehemu ya maisha ya watu wajinga na Masikini.
Huwezi tenda Haki Kwa watu wajinga, unajua wajinga wanafanana na Wanyama. Yaani mnyama umfanyie Haki usimfanyie yeye Hana habari 😊 unaweza usinielewe.
Wazungu walivyokuja Afrika walitumia kanuni hii. Walitudhulumu Kwa sababu ya ujinga wetu. Ndio maana Leo hii wao mi matajiri. Mpe mjinga Debe la Unga alafu mchukulie Mgodi wa dhahabu. Hiyo ni kanuni.

3. Wekeza zaidi kwenye uvunjifu wa maadili, tengeneza Migogoro ya kijamii
Anzisha sera, kampeni, sheria mpya ambazo agenda ya nje watu waone ni kutetea haki za kundi Fulani Ila agenda ya Siri ni kutengeneza migogoro ya kupiga Pesa.

Mfano, Weka sheria na Sera za Haki Sawa
Umbo la nje watu waone Wanawake wanatetewa lakini umbo la ndani ambayo ndio agenda ya Siri/lengo ni kutengeneza pesa. Kivipi:

I. Haki Sawa itavuruga mahusiano. Hii itafanya biashara ya umalaya kushamiri.
ii. Fungua taasisi za utetezi kisha piga pesa Acha kuzubaa zubaa.
iii. Haki Sawa zitazalisha Tatizo la kuolewa automatically, hii itafanya biashara za makanisa na waganga kupiga pesa Kwa kuwaambia wanawake wamelogwa.
iv. Haki Sawa itapelekea Tatizo la Ajira kwani Wanawake nao watataka fursa za kuajiriwa Kama wanaume. Hii itaongeza cheap Labour, Ajiri Vijana Kwa bei Sawa na bure piga pesa.
Nchi zisizo na haki za hakuna tatizo la Ajira ila linaupungufu wa nguvu kazi.

v. Haki ya wanawake kujiamulia mambo Yao Kama kuvaa nguo za uchi.
Hii itachochea Umalaya na uzinzi. Kisha fungua Mradi wa Chanjo ya kuzuia mimba iite uzazi WA mpango, wauzie upige pesa. Wauzie vidonge vya P2 kisha waliopata mimba watengenezea misoprozo, piga pesa wewe.
Kisha watakaopata UKIMWI wape ARV. Ambazo nchi zao zitalipia wao wapewe bure ili wasishtukie dili.

vi. Weka Demokrasia, kisha tengeneza Vyama vingi alafu piga pesa wewe. Acha kuzubaa.

Vii. Hamasisha haki za ushoga, tumia Fani ya Mitindo na Fasheni ya nguo video za wanamuziki kisha piga pesa Kwa kuuza vifaa vya uchafu huo. Hii itapunguza nguvu kazi ya nchi kwani wanaume ndio nguvu kazi. Wakishakuwa wengi wao ni mashoga watakuwa hawana jipya. Chukua Mali za Nchi utakavyo.

4. Hamasisha Bahati Nasibu na miujiza

Ni watu wajinga na Masikini pekee ndio watakaoamini katika mambo ya miujiza na bahati nasibu.
Fungua makanisa, jiite Nabii au Kuhani, tafuta waigizaji WA mfano, watoe ushuhuda. Piga Pesa.
Anzisha Mchezo wa Bahati Nasibu, tafuta waigizaji, piga nao picha unawakabidhi milioni 500. Piga pesa Kwa waliobaki.

Fungua Kilinge, jiite Mganga Taikon kutoka Sumbawanga, Andaa igizo na waigizaji, ita Online TV walipe pesa, muigizaji mmoja ajifanye mwizi aliyenasa kwenye nyumba ya muigizaji mwingine(wote umewapanga) Online TV ifike, piga Pesa Kwa waliobaki.

5. Jifanye mwanasiasa mwenye uchungu na Nchi

Lia, piga mayowe, piga kelele Kwa serikali kuwa imezidi sasa, sema upo tayari kufa Kwa ajili ya kutetea Wanyonge, wekwa ndani wiki kadhaa, toa pesa, toka Mahabusu, endeleza harakati kimkakati 😀 usiwe mwanaharakati kalimati mshikamanati ya kuzimu.
Tafuta chama, pewa cheo, Kula pesa. Nyamaza.

6. Sifia wanawake na jifanya unatetea masikini
Hata kama wanafanya Mabaya Watetee. Kuwa semeji la Masikini, watakushangilia Kwa maana ndio tabia Yao. Waambie masikini Mungu anawapenda na umasikini ni mpango wa Mungu, wape Aya za kuwapa moyo, waambie matajiri hawataenda mbinguni. Kisha mwishowe wachangishe pesa za Kusafisha koo.

Ukishahakikisha umeiteka Imani Yao.
Anzisha Charity organization, changisha pesa za kusaidia masikini wasiojiweza au kutetea Wanawake. Piga Pesa. Jifanye hakuna umachokifaidi lakini kisogoni unaishi maisha ya Raha mustarehe.

7. Andike matusi, Umbeya na mambo ya hovyo

Usipende kushauri masikini au wajinga. Hao hawashauriki wala hawaambiliki. Ukiwashauri watakuambia tusipangiane maisha. Namna nzuri ya kuwaweza ni kuwapa habari za matusi, Umbeya na mambo yote ya hovyo. Watajifanya wanakutukana lakini wata-like na ku-share na ku-comment.

Lakini mambo ya maana hawatakuwa na muda nayo. Eleza mambo ya Mapenzi na ngonongono,
Penda kuelezea mambo negative Sana utafanikiwa.

8. Uza vitu vidogovidogo yaani vya BEI ndogondogo

Elfu mojamoja, elfu nne, Miatano. N.k.
Weka Duka lako local lisiwe la kisasa Sana litawatisha hawataingia, lisiwe limejichokea Sana watalidharau.

Nipumzike sasa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Nimekuelewa Sana brother kweli kwa Sasa umalaya umeshika hatamu kila kona.

Nimependa hapo kwenye kufungua duka liweke local Tena uswahili ndo Kuna hela ndogondogo lakini zinakuja nyingi na masikini wakikopa huwa wanalipa.

Lakini taifa letu la wajinga wengi Ila tunapenda Sana anasa ila kwa Sasa dunia nzima tu imekaliwa na muovu hata matajiri Wana entertaining ujinga mfano pornography waliowekeza huko wanapiga pesa kote kote kwa masikini na matajiri.
 
Kwa sasa Dar es s niujinga wenye maana kubwa kuliko.ujinga nimekuelewa na ndivyo wanavyo tufanya mkuu
 
Ngoja nikopi ,tokea umegusa kwa kidonda. Huwa namwambia yale maagizo ya bungeni eti Wana uchungu na wao wakati wanawaza namna ya kwenda kula Bata Maldives na Bahamas

Nakuunga mkono harakati za kupinga na kupambana na umaskini, hakuna kitu ninacho chukia kama umaskini.
Umaskini ni mbaya mno, umaskini huondoa utu na huweza kumfanyatu kua hayawani.
Kama kungekuwa na silaha ya kuua umaskini hata kama ingekuwa inauzwa kiasi gani ingenunuliwa tu.

Kama kungekuwa na kujitoa mhanga ili kuondoa umaskini ingefanyika hivyo.

Ubaya wa umaskini huambukiza kizazi na kizazi na mnyororo wake haukati kwa wepesi.

Umaskini ni mbaya kuliko hata ubaya wenyewe.
 
Umeeleweka...kwa kifupi ukitaka kutengeneza pesa tazama aina ya jamii uliyopo ina utashi upi?

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Maelezo mengi halafu ww umeyakamilisha kiusahihi na kwa ufupi. Akili ya kitajiri.

Ni short: Huwezi kwenda fungua kiwanda cha soksi/nguo za ndani umasaini.
 
Back
Top Bottom