Tanzania ukitaka kutajirika wekeza kwa wajinga na masikini

Hoja namba 5 ina mashiko, ukitaka utajiri wa haraka, wekeza kwenye siasa tu
 
Robert unafahamu mengi. Nchi hii kwa kweli ukiwa formal hutoki ng’o formality ni mambo ya waliostaarabika sana na mimi mwenyewe sio siri nimepoteza sana kwa kufuata formality na kufikiri wengine nao wanapenda hivyo.

Anzisha baa/restaurant ya kishua uswahilini utabakia mteja wa baa yako.

Nimejikuta naogopwa hata na viongozi wa dini kwa kuonekana mkweli au mwenye haki mno!

Kweli mambo ya Kaisari mpe Kaisari na ya Mungu mpe Mungu.
 
Maskini na wajinga ndio wengi katika kila society, na mara zote ndio good consumer (soko/wateja wa kila kitu), maskini wakipata wanajua kutumia tuu lakini tajiri atafikiria namna ya kuongeza zaidi, kwa bongo Azam kawapatia kweli kweli🤣
 
Jamaa akawekeza kwa siasa anajifanya ana uchungu na masikini akawakomoa Kodi kwa kiburi anawaambia kuwa hamtaki kukamuliwa sepeni Burundi. Leo hii anayo kampuni kadhaa like betting,mabasi Mia kidogo, timu ya mpira akija kwako anakuchekea. Ila afrika yote siasa inalipa mno komaa mpaka udaanganye wajinga na masikini wakuchague
 
Huu unatakiwa uwe uzi bora wa mwaka!

Upeleke kwenye Story of Change, una uhakika na kura yangu.
 
Maskini na wajinga ndio wengi katika kila society, na mara zote ndio good consumer (soko/wateja wa kila kitu), maskini wakipata wanajua kutumia tuu lakini tajiri atafikiria namna ya kuongeza zaidi, kwa bongo Azam kawapatia kweli kweli🤣
Ndugu yangu usipende kugeneralise mambo, yaani usikariri mambo kiujumla jumla tu, unaposema masikini na wajinga ni wengi katika kila society unaweza usiwe sahihi, Kuna nchi nyingi tu ambazo zaidi ya nusu ya wananchi wake ni bachelor degree holders.
 
utafeli vibaya sana!!😂
 
Ni kweli kabisa
 
Mambo yote uliyosema ni kweli kabisa,hata mimi nimejionea na maendelea kukionea,naishi sababu ya mada yako.
 
Una million ngapi mpaka leo? If ceeating wealth was easy then many would have been wealthy. Usiwakejeli watu just because they have a lowlife status. Hakuna anaependa kuwa maskini dunia hii
 
Una million ngapi mpaka leo? If ceeating wealth was easy then many would have been wealthy. Usiwakejeli watu just because they have a lowlife status. Hakuna anaependa kuwa maskini dunia hii
Japo alichosema ni ukweli, Bakhressa amewekeza vitu vya jero, buku...wateja wake wengi ni masikini, haipiti siku mtu hujatumia bidhaa ya Bahkressa, uliza ni aina gani ya watu wanbugia hadi azam energy mbili au tatu mwa siku ndio utaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…