Tanzania ukitaka kutajirika wekeza kwa wajinga na masikini

Una million ngapi mpaka leo? If ceeating wealth was easy then many would have been wealthy. Usiwakejeli watu just because they have a lowlife status. Hakuna anaependa kuwa maskini dunia hii
Jikite kwenye hoja acha kumshambulia mleta mada,watz sijui tukoje
 
Kama yule anayejulikana kama 'dada wa taifa' alivyoweza kuwapata mazuzu na nyumbu kwenye apps yake!!!!!!!!!!!!
 
Una million ngapi mpaka leo? If ceeating wealth was easy then many would have been wealthy. Usiwakejeli watu just because they have a lowlife status. Hakuna anaependa kuwa maskini dunia hii

Hakuna sehemu nimewakejeli Masikini.

Kama ungeangalia in a positive way ungeona kuwa hao masikini ndio wanaoshauriwa namna ya kuondokana na umasikini.

Jicho pevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…