Tanzania upinzani unatia hasira

Wacha weee huyo ndio SI unit?
Fuatilia habari zake. Ile ilboru pure, sio hizi za kuchakachua

Sio ninyi wa kuungaunga.

Unamuelewa mtu kwa kumsikiliza, you don't have listening skills, reading skill utaelewa nin ka.ma. Wewe
 
Hiyo 2002 uliyoweka kwenye huu urojo wako inahusu nini?
 
Ni kweli upinzani Tanzania ni michosho. Mfano Chadema wamepata mtaji mpya wa kuwaingiza ikulu ki trampu trampu, suburia Jumamosi, huchelewi kuambiwa lile kokoro lao linarudi!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…