Tanzania Vodacom Premier League is back: live updates kwa mechi zote za 20 Aug 2016

Tanzania Vodacom Premier League is back: live updates kwa mechi zote za 20 Aug 2016

Aisee...

Israel Nkongo anampa mchezaji wa African Lyon kadi nyekundu baada ya kupuliza filimbi ya kumaliza mpira..
Awa marefa safari hii watasababisha vurugu, kwahyo azam kalala na kubebwa kote
 
Mkongo aliwahi kuibeba Azam FC mpaka vyura fc waka mpika sana..
 
Nilishasema msimu huu,TFF na marefa wao hao watasababisha vurugu mbaya sana.Goli la Azam lilikuwa sahihi baada ya kufanikiwa kuvunja offside trick.But huo mda wa dakika 6,kwa lipi hasa.Je hiyo kadi ya nini mpira umeisha? Tena kadi nyekundu.kama si kukatisha tamaa wachezaji ni nini?
 
Punguza unazi. AL wanapoteza sana muda. Halafu hii ya offsides 16 za AZAM unazionaje? Azamfc tuko vizuri. Tunabaniwa tu.
Sasa mimi na wewe nani mnazi??..

Sentensi yako 'Azamfc tuko vizuri' ndio iko kinazi...

Wazuri huwa hawafungi goli dakika ya 94 Chifu..
 
83f5e3166ccb80dd4b15ad5ea6423302.jpg


cc Nifah Belo nasmapesa Guasa Amboni Sibonike na ndugu yenu Makoye Matale.
 
Back
Top Bottom