Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Awa marefa safari hii watasababisha vurugu, kwahyo azam kalala na kubebwa koteAisee...
Israel Nkongo anampa mchezaji wa African Lyon kadi nyekundu baada ya kupuliza filimbi ya kumaliza mpira..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awa marefa safari hii watasababisha vurugu, kwahyo azam kalala na kubebwa koteAisee...
Israel Nkongo anampa mchezaji wa African Lyon kadi nyekundu baada ya kupuliza filimbi ya kumaliza mpira..
Wanajulikana magoli waliyo funga ni ya kawaida uzembe mkubwa wa Ndanda walikuwa na nafasi kubwa ya kushindaHawana pumzi hao
Wamechomoa dakika ya 94
Refa kaongeza dakika 6....Haijulikani hata zilikotoka
Azam wamebebwa leoPunguza unazi. AL wanapoteza sana muda. Halafu hii ya offsides 16 za AZAM unazionaje? Azamfc tuko vizuri. Tunabaniwa tu.
bado tatizo kwa marefa Wetu..Wamechomoa dakika ya 94
Refa kaongeza dakika 6....Haijulikani hata zilikotoka
atakuwa amemmuliza kuhusu muda?Aisee...
Israel Nkongo anampa mchezaji wa African Lyon kadi nyekundu baada ya kupuliza filimbi ya kumaliza mpira..
Wamechomoa dakika ya 94
Refa kaongeza dakika 6....Haijulikani hata zilikotoka
Azam Vs Africab Lyon
Dakika ya 99 sasa
Hawa marefa wetu...Hovyo sana
Kuna uhusiano gain?Msimuombe radhi mzee akilimali ndio utajua kama baiskeli ya miti au ya chuma
Sasa mimi na wewe nani mnazi??..Punguza unazi. AL wanapoteza sana muda. Halafu hii ya offsides 16 za AZAM unazionaje? Azamfc tuko vizuri. Tunabaniwa tu.
Absolutely! Misimu mingi sasa imekuwa hivyo.Ulichokiona wewe kina uhusiano ni mpira na baiskeli ya miti!
Nayajua ya Bamchawi Simba kuliko ya Akilimali Yanga!Ila hujui kama mzee akilimali yupo siku nyingi yanga!
Nitawajua wa Congo wangapi?Kama humjui utamjua mwaka huu
Hasa muuza mazao ambaye anataka kuingia kwenye biashara ya wanyama kama paka wadogo na wakubwa!Unataka kuwajua wahindi tu
Roli ndiyo kitu gani?Hata kukodishwa kama roli la kufuata mkaa porini au vp?
Kijana utakuwa ama Muha au Mkinga wewe. Kwa ubishi huna mpinzani.Huko porini kuna mabwawa ya kufugia chura kama lile bwawa mnalotaka kumpangisha yule mhindi
Kwa wakati huu inawezekana lakini mwisho wa msimu Mnyama atakaa sehemu yake aliyozoea kwa miaka minne sasa.