Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Taifa stars haiwezi kuifunga Algeria, hizi ni level mbili tofauti....na huu ni ukweli mchungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzoefu, uzoefu, uzoefu.
Nimeamini kauli ya mwinyi bado inatuandama
Hakukuwa na sabab ya kufanya sab hasa kiungo
Mkuu aifute kabla hajaenda wapi?Inapaswa aifute kabla hajaenda
Pole sana, japo bado wana nafasiDah nilikuwa na stress zangu za hapa na pale,TAIFA STARS wakazipunguza japo kwa dakika 70 halafu wakaziongeza maradufu kwa dakika 6 tu.BTW Wameonyesha GAME NZURI..
Mkuu aifute kabla hajaenda wapi?
tuliwaambia...WATANZANIA nyie wajinga sana
mi n ilikuwa nawashangaa tu wanaoshangilia humu.stars ishinde kwa uwekezaji up i?
WATANZANIA ni wajinga wa mwisho dunia ni...
Tumeshatoka
mi n ilikuwa nawashangaa tu wanaoshangilia humu.stars ishinde kwa uwekezaji up i?
WATANZANIA ni wajinga wa mwisho dunia ni...no wonder wameichagua ccm
Kutoka 2.0 hadi 2.2?, mbaya sana
Hiyo defence nafikiri ilikuwa imelala. Mcheza kwao lazima ashinde bana piga hao Algerians wamezidi kutuonea bana. Huyu refa hakupewa Brown envelopes kweli?
vipi mkuu...unayo neno tena....hahahaha. ..hapamavitu