Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
Taifa stars haiwezi kuifunga Algeria, hizi ni level mbili tofauti....na huu ni ukweli mchungu
 
Dah nilikuwa na stress zangu za hapa na pale,TAIFA STARS wakazipunguza japo kwa dakika 70 halafu wakaziongeza maradufu kwa dakika 6 tu.BTW Wameonyesha GAME NZURI..
 
Himid na Yahya walikuwa wanaelewana sana, na Maguri alikuwa na physique, alikuwa anawazuia kiasi fulani kwenye ubabe, Ngassa naona anakbia kimbia tu!
 
Mi n ilikuwa nawashangaa tu wanaoshangilia humu.stars ishinde kwa uwekezaji up i?

WATANZANIA ni wajinga wa mwisho dunia ni..
 
Dah nilikuwa na stress zangu za hapa na pale,TAIFA STARS wakazipunguza japo kwa dakika 70 halafu wakaziongeza maradufu kwa dakika 6 tu.BTW Wameonyesha GAME NZURI..
Pole sana, japo bado wana nafasi
 
Dk 80

Tanz 2 - 2 Alg
 
mi n ilikuwa nawashangaa tu wanaoshangilia humu.stars ishinde kwa uwekezaji up i?

WATANZANIA ni wajinga wa mwisho dunia ni...

Kama ni wajinga wewe kwanini unawafuata fuata.
 
mi n ilikuwa nawashangaa tu wanaoshangilia humu.stars ishinde kwa uwekezaji up i?

WATANZANIA ni wajinga wa mwisho dunia ni...no wonder wameichagua ccm

JK aliomba watu wajae uwanjani kushangilia tutashinda teh teh teh..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…