Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
Hebu ni kumbushe kenya kama si Uganda wameanzia ugenini hivi walicheza na nani vile? Ni majuzi tuu ili nijaribu kupima unacho sema..

Mkuu, Carpe Verde wako juu sana, kenya wapo chini ya carpe verde!
Alichosema jamaa yuko sahihi.
 
Nadhani Sub zilizofanyika hazikustahili, ama siyo sahihi maana baada ya hapo mpira umepooza sana. Na magoli yao wamepata baada ya hizi sub.
 
Dk 90

Tanz 2 - 2 Alg

Dk 3 zinaongezwa
 
Kwa sababu ya ubokoharamu wao khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ni waisilamu wajinga tu ndio wanaofanya hivyo lakini wakipata shida wanakimbilia nchi za kikristo.



Hayo uliyoyaandika yanahusiana nini na hii mechi?!! Haya ndio matatizo ya kuishi kwa kukariri!!
 
Watanzania tumezoea kubebwa sana. Lubuva na Jesha wameharibu kabisa taifa letu.
 
Kocha kakosea sana kuwejabsabu angemuacha Maguli
 
Cha msingi mpira tunacheza, na pia viwanja vyetu sio shamba la bibi.
Mkwasaa alibugi kwenye sub! Ndemla na Ngassa!
 
Hayo uliyoyaandika yanahusiana nini na hii mechi?!! Haya ndio matatizo ya kuishi kwa kukariri!!

Kwani wewe ni muisilamu mjinga? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
FT

Tanz 2 - 2 Alg

Mpira umekwishaaaa
 
Unamtoa maguli unmwingiza ngassa pia unamtoa mudathir anaingia ndemla hii ni foolish sub dunia nzima inajua
 
Mziki wa Algeria sio wa kawaida na mechi ya marudiano inabidi kuchukua Kapu kabisa la kubebea Magoli....Pole yetu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…