barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Aliyekwambia lazima uipende ni nani? Ishu yangu ni baadhi ya nyumbu kuleta siasa na kuhusisha na stars wakati imecheza mpira mzuri.Debuli umemjibu huyu Pumbavu yake. Kwakuwa ni TS ndio tuipende. Wanaboronga kichwa cha mwendawazimu bado tupende tuu, ww ndio maana unaugua maradhi ya moyo.
Siku-quote comment ya mtu, kama umedandia comment yangu basi inakuhusu!
Acha uhaini.
hapa kazi tumbona hamsem hapa kaz 2?
Sijapanic, wananiuzi wanaojiita watanzania wataka mabadiliko, wanaponda timu bila kutoa suluhisho na kuingiza siasa.
Soma komments za watu utanielewa.
viva Algeria.Tena wamefanya poa kiasi.ilipaswa mpigwe tanoKuna watu wanatakiwa kupigwa vidole vya vutu haki ya nani. Mtu na akili zako unafurahia hawa waarab kwa kusawazisha badala ya kusononeka Taifa Stars kukosa ushindi? Sijui watu mkoje. No pride ya kuwa Mtanzania, No uzalendo wala nini. Inaelekea Tanzania ikipigana vita na Algeria kuna watu watasaidia Algeria iangamize Tanzania.
Ikiwa kama timu ya Taifa inakwenda kufanya mazoezi na timu ya chuo, je unatarajia nini? Matokeo yasiyoridhisha zinazopata timu za taifa ni kiashirio cha uchumi mbovu ulioambatana na uwekezaji mbovu. Mtu hawezi kunenepa miguu pekee. Hivyo hivyo, Tz haiwezi kufanikiwa kwenye michezo ili hali sekta nyingine zote (elimu, afya, nishati, miundombinu, ...) inasuasua.
mbona hamsem hapa kaz 2?
Kwaiyo TS wasubiri Jecha afute matokeo ya mechi ya leo ndio watapata Salama.
kila siku ndio maneno yenu...eti mmejitahidi...hahahaha. ..kujitahidi kila siku...pheeeeeewMNAOPONDA STARS NI WAJINGA NA WAHAINI, mnatakiwa kuisapoti timu yenu, tena inapoonesha kiwa ime-improve, Stars wamecheza vizuri sana. HATUJAFUNGWA.
HONGERA STARS!
Nawashangaa watu hasa WANA UKAWA MNALETA SIASA HUMU. Kamwe kwa mentality hiyo hamtatoboa maisha, ulipofikia ndo mwisho!
MAANINA ZENU WOTE MNAOIBEZA STARS!
hivi mkuu seriously kabisa ulitegemea stars ishinde.Nakushauri next time usijipe stress za bureUlijua mkuuu.