Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

De Opera

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
780
Reaction score
1,664
Tanzania(Taifa stars) and Benin meet at Mkapa Stadium on Thursday in a battle between two sides at the top of their World Cup 2022 qualifying group.

The sides are level on points and goal difference ahead of their double-header this week, with Tanzania set to travel to Benin on Sunday.

Another game of Group J is DR Congo vs Madagascar.
 
Kuna Kibu Denis pale 😁
Kama kwenye ile mechi ya Ngao ya Jamii tu alianzishwa na mwenzake Mugalu, lakini mwisho wa siku aliishia kuruka ruka uwanjani kama panzi! Ndiyo mtu wa aina hii aje afanye maajabu ya kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia!!

Big No!!!
 
😀😀 Watafanya maajabu.
Hayo maajabu yatasababisha vifo vya Watanzania wengi sana wakiwa huko Qatar!! Maana wakati wa michezo yao, Watanzania wengi tutakua tunaishikilia mioyo yetu mikononi.

Yaani kuanzia dakika ya 1 mpaka ya ile ya 90, mioyo itakua inakwenda mbio kweli kweli. Walichokifanya AFCON na yule jamaa yao Amuneke, bado hatujasahau.
 
Kama kwenye ile mechi ya Ngao ya Jamii tu alianzishwa na mwenzake Mugalu, lakini mwisho wa siku aliishia kuruka ruka uwanjani kama panzi! Ndiyo mtu wa aina hii aje afanye maajabu ya kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia!!

Big No!!!
Ngao ya jamii ipi wewe utopolo
 
Kama kwenye ile mechi ya Ngao ya Jamii tu alianzishwa na mwenzake Mugalu, lakini mwisho wa siku aliishia kuruka ruka uwanjani kama panzi! Ndiyo mtu wa aina hii aje afanye maajabu ya kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia!!

Big No!!!
nina wasiwasi kuwa mpira hukuangalia ulipata story za vijiweni ndo umekuja nayo apa jf..
 
Ila hii game ya kesho vipi, ushindi upo lakini?
 
Tanzania will win today's game either by 3-1 or 3-1.Just thinking
 
Kama kwenye ile mechi ya Ngao ya Jamii tu alianzishwa na mwenzake Mugalu, lakini mwisho wa siku aliishia kuruka ruka uwanjani kama panzi! Ndiyo mtu wa aina hii aje afanye maajabu ya kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia!!

Big No!!!
Kibu hakucheza ngao ya jamii hata benchi hakuwepo alicheza simba day vs mazembe na alifanya vizuri sana
 
Back
Top Bottom