NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Sio kweli mkuu,Fesal Salum mbona anaweza sana tu.Shida kubwa Tanzania hakuna playmakers kama Chama/de Bruyne, ni vigumu sana kutengeneza high quality chances kama huna wachezaji wabunifu kwenye midfield.
kwa vyovyote lazma tushindeBenin tunalingana point, kwahyo wakitoa draw hapa kwetu ni faida kwao
Naaam,Taifa stars 0-1 Benin
FT
Shida ya Feisal huko nyuma alichezeshwa sana nafasi ya kiungo mkabaji kwa muda mrefu, kwahyo bado hana uzoefu mkubwa wa nafasi hiyoSio kweli mkuu,Fesal Salum mbona anaweza sana tu.
We jamaa utakuea mkali wa kubeti aseeeOya kocha Mtoe Boko aingie Mtanzania mpya Kibu - Ana goli lake moja kipindi cha pili.
wako woteToa Boko Weka Kibu Denis
Kweli kabisa,wakina Kaze na Bhoo Papaa Zahera walimtoa kwenye asili yake.Shida ya Feisal huko nyuma alichezeshwa sana nafasi ya kiungo mkabaji kwa muda mrefu, kwahyo bado hana uzoefu mkubwa wa nafasi hiyo
Ni basi tu atuthamini vya kwetu sijui niseme hivyo,lakini Mzamiru Yassin ni kiungo solid aliyetakiwa kuanza kikosi cha kwanza timu ya taifa mpaka club.ifike pahala mzamiru apewe heshima yake
Dah!,,Mungu ibariki Bongo nyoko.Nafasi nyingine ya wazi tumepoteza