Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

Mkuu kama utojali embu shusha list ya Tanzania leo ndani ya pitch.
1633613441180.png

Mkuu kama utojali embu shusha list ya Tanzania leo ndani ya pitch.
 
hawa jamaaa tusiwabeze wanaweza kutuhaibishaa
 
Mkuu kama utojali embu shusha list ya Tanzania leo ndani ya pitch.
1.Aishi Manula
2.Israel Patrick
3.Mohaed Hussein
4.Dickson Job
5.Bakari Nondo
6.Novatus Dismas
7.Mbwana Sammata
8.Mzamiru Yasin
9.Bocco john
10.Feisal Salum
11.Simon Msuva
 
1.Aishi Manula
2.Israel Patrick
3.Mohaed Hussein
4.Dickson Job
5.Bakari Nondo
6.Novatus Dismas
7.Mbwana Sammata
8.Mzamiru Yasin
9.Bocco john
10.Feisal Salum
11.Simon Msuva
Naona hapo itakua 4:2:3:1 kwa hii formation na aina ya hao wachezaji atuwezi kufungwa tutashinda au kudraw.
 
Upande wa kulia kuna chocho la kutosha kupita hata Scania, Mwenda na Mwamnyeto wamefeli.
Upande wa kulia, beki wa katikati hawezi kwenda kusaidia mkuu hasa kwa mfumo huu, ila kwasababu kuna double pivot pale katikati yule Dismas inabidi ndio awe Anaenda kusaidia kulia na mzamiru kusaidia kushoto
 
Una uhakika jibu alikuwepo kwenye ngao?? [emoji16]
Kama kwenye ile mechi ya Ngao ya Jamii tu alianzishwa na mwenzake Mugalu, lakini mwisho wa siku aliishia kuruka ruka uwanjani kama panzi! Ndiyo mtu wa aina hii aje afanye maajabu ya kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia!!

Big No!!!
 
  • Thanks
Reactions: Lee

sema mzee acha uongo ... kibu hajacheza
 
Back
Top Bottom