Tanzania vs Guinea: Tanzania yaaga mashindani baada ya kutoka sare ya mabao 2 kwa 2 dhidi ya Guinea

Dah, kwangu Mimi experience imetu cost, Guinea wameweka kambi kwa zaid ya dakika 5 Hadi wanasawazisha, hamna mtu hata wa kujiangusha ili watulize pressure, hamna mtu wa kuwatuliza wachezaji... Angekuwepo mtu Kama Bocco au Nyoni mule wasingechomoa wale
 
Tzn hakuna beki wala fowadi yaani tuna kipa na viungo tuu na huwezi mlaumu kocha pengine ni ufinyu wa vipaji hapa Bongo

Ukichukua uwezo wa mchezaji mmja mmja Kati ya Tzn na Guinea wametuzidi mbaali
Ww golikipa yup yule nyonyoma ambaye kakaa leo pale ety ungejua watu tunamtaman ningekua jiran ningechap fimbo
 
Tulikuwa tunafuzuu make hawa bado wametoshanaView attachment 1687781

chuki i wapi?
Nani kaandaa hilo bonanza.

Washiriki wanalipiwa na nani?

mechi inayo fuata ni lini na na nani n nani?

jibu hayo maswali nione hoja utakazo
Jibu la swali la kwanza ni simba sc ndiyo imeandaa.
Jibu la swali la pili sijui kwa 7bu sina uhakika kama simba sc ndio inalipia gharama zao zote kwani hata hilo unaloita bonanza na wao wanafaidika. Mifano kadhaa ni hii wachezaji wao wanapata mechi fitness pia hizo timu zinafanya biashara hivyo zinafatiliwa popote zinapokwenda kwa namna flani wanapata pesa kupitia mashabiki wao pendwa.
 
Reactions: Lee
Almost 15minutes tumezidiwa na hakufanya sub yoyote! Anajua yupo na inexperienced player alipaswa kuwa sharp kulinda goli! Kuna watu walikuwa wamechoka mno but he did nothing! Katu cost sana kocha! Silaumu wachezaji kabisa
Wachezaji wa Bongo hawana uwezo,hata hapo unaposema eti wachezaji walichoka si kweli bali Guinea waliforce goli na hawakuacha hata dkk moja kwamba ufanye assessment ya haraka kujua aliechoka.
Pengine Lyanga hakufaa kurudi kipindi cha pili yeye ndio kacheza chini ya Kiwango
 
Tzn hakuna beki wala fowadi yaani tuna kipa na viungo tuu na huwezi mlaumu kocha pengine ni ufinyu wa vipaji hapa Bongo

Ukichukua uwezo wa mchezaji mmja mmja Kati ya Tzn na Guinea wametuzidi mbaali
Hapana, tuliwazidi sana. Tumeshindwa kubadilika muda tulipozidiwa kama delaying techniques, kocha kazubaa kufanya sub hadi goli lilivyorudi! Hapa nilipokuwa kila mtu aliona kuna watu wamechoka na mpira unachezewa kwetu almost 15 minutes! Technical bench hawakufanya lolote kuwasaidia wale vijana ku hold up.
 
Asirudi TZ moja kwa moja akate ticket kurudi Burundi,kocha mpuuzi uwezo wa kufuzu ulikwepo tangu awali katuangusha sana

Na mambo ya uzalendo yalivyopambishwa moto ataambiwa amefanya SABOTAGE.
 
HAPANA! Tuliwazidi, wamefanikiwa sababu sub zao zilikuja na maswali ambayo tech bench letu walishindwa kujibu haraka.

Hii ilikuwa game yetu kabisa!!!
 
msingi wa wao kushiriki ni iyo kupata mechi fitness na ndo maana wamecheza kwa kuangalia idara gani ina mapungufu warekebishe

hata nkikuuliza ww leo umegundua timu yako ina udhaifu upi hujui.

umesajili wachezaji kama wa 3 kwa ajili ya kimataifa ila hamjamwangalia chikwende na uwezo wake mmeishia kwa morison hahahaha
 
Katuangusha kocha na atakayepinga hili HAJUI mpira ...
 
Lawama nyingine za kiboya sana... Wachezaji walikuwa wanabutua butua tu... Hawajui kutuliza presha ya adui... Tulipack bajaj baada ya goli la pili.. sisi mpira bado sana
 
Quality ndiyo imeamua game,angalia tulipoongoza wametutafuta Sana mpaka wakapata goli......wanafoot work nzuri na matured enough......tulipoongoza yale mashambulizi hata kipa kujiangusha au mchezaji wa ndani ili kupumua hakuna.......
Soma sentensi zako upya. Sub zao zimeamua game. Sisi tuli dominate sana game, hizo foot work etc zilikuwa wapi? Tumefungwa na tech bench lao PERIOD!
 
Almost 15minutes tumezidiwa na hakufanya sub yoyote! Anajua yupo na inexperienced player alipaswa kuwa sharp kulinda goli! Kuna watu walikuwa wamechoka mno but he did nothing! Katu cost sana kocha! Silaumu wachezaji kabisa
Wakina Nchimbi walichoka walikuwa hawakabi muda wote mpira unachezewa golini kwetu kocha amekaa tu halafu yunafungwa ndio anafanya sub
 
Ww golikipa yup yule nyonyoma ambaye kakaa leo pale ety ungejua watu tunamtaman ningekua jiran ningechap fimbo

Ww golikipa yup yule nyonyoma ambaye kakaa leo pale ety ungejua watu tunamtaman ningekua jiran ningechap fimbo
Hakukuwa na mikakati ya kufuzu. Hiyo ndio point, watz wote tuache kumunyooshea yeyote kidole awe kocha na benchi lake au wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…