SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Kama nilivyosemaGoli linarudi hili. Timu imeshindwa kutulia kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nilivyosemaGoli linarudi hili. Timu imeshindwa kutulia kabisa
hakuna kipa hapa bora metacha ama kaseja
Usisahau kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa makosa.Mabeki wataighalimu timu Muda wowote naona gine wamechwarukwaa
Ebwana hawa jamaa unaona kabisa wanatafuta goli...kwa kipindi cha dakika 7 wameonyesha tofautiNi suala la muda tu. Naona kodi zetu zinaenda kusikojulikana. Hii jokes wakuu msiponde mawe 🏃🏃
Hatari saana
Na tayr la pil limewekwaa sio poa yaanEbwana hawa jamaa unaona kabisa wanatafuta goli...kwa kipindi cha dakika 7 wameonyesha tofauti
Mkuu toa hoja sio unatuletea chuki zako binafsi hapa sio facebookMB3 anatamba kwenye bonanza
kombe uandae ww
kualika wageni ww
kuwalipia msoc na gharama zote ww
kujipa ratiba rahisi ww
alafu unapakia mkongo wakati wenzio wanachukulia mazoezi hahaha
mwamedi nae kakenua eti tumewakimbiza yaani nimecheka nkamkumbuka eid amini kipindi kile anashinda mashindano ya kuogelea baada ya kuwachezea faulo wenzake alafu akashangilia kweli
Ni kuomba duaa tuuTulikuwa tunafuzuu make hawa bado wametoshanaView attachment 1687781
Zero zeroZambia na Namibia matokeo
0-0Zambia na Namibia matokeo
Utuambie kakosea nini?hakuna kipa hapa bora metacha ama kaseja
chuki i wapi?Mkuu toa hoja sio unatuletea chuki zako binafsi hapa sio facebook