Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
Endapo matokeo yatabaki hivi, japokuwa sitamani hiki kitu kitokee kwa maana timu zote zimeingia uwanjani kushindana. Je, itakuwaje ? Mwenye anajua aniambie kitatokea nn.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi uludi Tanzania ushuhudie Simba Super CupEndapo matokeo yatabaki hivi, japokuwa sitamani hiki kitu kitokee kwa maana timu zote zimeingia uwanjani kushindana. Je, itakuwaje ? Mwenye anajua aniambie kitatokea nn.
Ni suala la muda tu. Naona kodi zetu zinaenda kusikojulikana. Hii jokes wakuu msiponde mawe 🏃🏃Yaani huu mpira hauvutii kuangalia acha tuu. Bado tuna safari ndefu sana.
Yes.nimeamua kulala ntakalo kutana nalo kesho sawa tu japo nasikia tumeongeza la 2
super kapu ama bonanza lile kaandaa mwenyewe ratiba anapanga mwenyewe anajipa mapumziko mareeefuItabidi uludi Tanzania ushuhudie Simba Super Cup
Kwa lugha yetu tunasema "jipu limempata mtumbuaji"Hawa wet
Kwanza kawapa penati ya kiboya sanaRefa kawabeba sana. Hii foul ilitakiwa iwe red card kwakuwa alikuwa mtu wa mwisho
Ewaaaaah sema mabek wetu waongeze umakiniUpe
Kwa lugha yetu tunasema "jipu limempata mtumbuaji"
Daah ! Mbona haifuraishi hii kitu ? ko tulienda kutathmini hayo machafuko ya huko cameroon auItabidi uludi Tanzania ushuhudie Simba Super Cup
Hakuna refa hapa kuna mbabaishaji tu. Unatoaje kadi ya njano Mhilu alikuwa anaangaliana na kipa?Refa kawabeba sana. Hii foul ilitakiwa iwe red card kwakuwa alikuwa mtu wa mwisho
Sio mbaya hata hivyo tuliwachukua wakiwa bado wanavaa "pampoos" yaani wachanga.Ewaaaaah sema mabek wetu waongeze umakini
MB3 anatamba kwenye bonanzaingekuwa Simba hizi ndo dakika za BM3