Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Wajinga hao wengine yaani wameshindwa kuona kitu rahisi kwamba wale Guinea wanajua mpira na mda wote walicheza kwa ku relax yaani mpira wao halisi ni ule tulipowafunga bao la kutangulia kwa bahatiQuality ya machezaji wao na wetu ndiyo imeamua game
Mipira yote ya juu wamewin japo centre back wetu wote ni warefuWajinga hao wengine yaani wameshindwa kuona kitu rahisi kwamba wale Guinea wanajua mpira na mda wote walicheza kwa ku relax yaani mpira wao halisi ni ule tulipowafunga bao la kutangulia kwa bahati
Angalia beki zetu mda wote fowadi wao wanacheza mpira mabeki hakuna wanafanya
Imeisha hiyo. Kauli mbiu ya sasa ni "staz rudi tz okoa kodi zetu"Kama kawa kama dawa.... Afe kipa afe beki Tanzania inaenda robo fainali chani mwaka uhuu
Dakika ya 2' Guinea wanapata penati...Goooooool Guinea 1 Tanzania 0
Dakika ya 23' Baraka Majogoro anaisawazishia Tanzania. Tanzania 1 Guinea 1
Dakika 45' kipindi cha kwanza zimekwisha Tanzania 1 Guinea 1
Dakika 45' za kipindi cha pili zinanza, Tanzania akuna mabadiliko yoyote.
Dakika ya 47 Kante anaonyesha kadi ya njano kwa kumchezea vibaya Faridi musa
Dakika ya 55' bado 1-1.
Dakika ya 60 ngoma bado ngumu
Dakika 65' Guinea wanapata kona na mchezaji wao Kalil anakosa goli la wazi kabisa.
Dakika ya 69' Tanzania wanapata kona Farid musa anapiga kona...gooooooool Manyama anandika Tanzania goli la 2
Dakika ya 75' ngoma bado Tanzania 2 Guinea 1. Faridi Musa anafanya kanzi nzuri kuokoa
Dakika ya 80' Guinea wameweka kambi upande wa Tanzania kona kama zote.
Dakika ya 81' Guinea wanapata goli la 2.
Dakika ya 84' Tanzania wanafanya mabadiliko Faridi nje Rajabu ndani.
Dakika ya 87' Ndemla nje Adam Adam ndani
Dakika ya 90' zinaongezwa dakika 3' apa matokeo bado 2-2
Mpira umekwisha Tanzania 2 Guinea 2. Kwaiyo Tanzania wanayaga mashindano.
Walituacha tucheze maana walikuwa na game plan ya kupata sare tuu ndio maana hawakucheza kwa pressure ko dkk pekee walizocheza seriously ni baada ya kutanguliwa goli waliporudisha wakarudi ku relaxNoooo! Work rate yetu iliyofanya tuka dominate game ilikuwa kubwa mno ndio maana walichanganyikiwa wale. We didn't have new game plan walipobadilika! Hiyo kazi ya nani? Hawa walikuwa wetu kabisa!!
Dah ! Nimeshindwa nicheke vp make sahivi ni usiku.Forward kuwa Nchimbi heri kocha angeweka debe la viazi kwenye namba ya Nchimbi tungejua ni viazi
Tatizo kocha kaweka viazi vya yanga kwenye fowardWatu wanawashambulia muda wote na nyie mna concède corner za kizembe, Korner karibu 10 chini ya robo saa unategemea nini.... hii timu ni takataka...
Ndo imeshatoka hivyo mama yako kaliwa na Guinea,kunywa maji upunguze uchungu..Tuma maombi uwe kocha badala ya NdailagijeNitatuma maombi Mama yako akiwa assist coach ni mwendo wa vipensi kideoni hakuna kufungwa
Umemaliza mkuu, wanasema ukweli mchungu ila hakuna namna lazima ukweli usemwe.Walituacha tucheze maana walikuwa na game plan ya kupata sare tuu ndio maana hawakucheza kwa pressure ko dkk pekee walizocheza seriously ni baada ya kutanguliwa goli waliporudisha wakarudi ku relax
Hata kama kocha angefanya mabadiliko kama unavyosema still hakuna kitu kingewazuia maana wanaquality kubwa ya mchezaji mmja mmja kuliko sisi
"staz rudi tz okoa kodi zetu" Mkuu tatizo letu hatuna mipango thabiti bali tuna mihemko thabitiNaona watu povu linawatoka, toka lini Starz ikawa timu nzuri chini ya hii TFF?
Hata wale Namibia tuliwafunga kwa bahati tu ila walikuwa wanatupiga. Starz haieleweki kuanzia nyuma mpaka mbele.
Mpira wa mtaani ndo unachezeka timu ya Taifa. Tazama wale Namibia siku ile walivyocheza soka la kueleweka.
Ona leo jamaa tulipowafunga goli la 2, wao bado walibaki kucheza soka ka utulivu na kimbinu zaidi, kitu ambacho Starz hakuna.
Hakuna soka la maana tuliloonesha, na bora tumetoka maana mbeleni watu wangejiuliza tumepenyaje huko?
Unamuonea kipindi cha kwanza Nchimbi kacheza vizuri sema yule Lyanga ndio hamna kitu inamaana Mhilu angecheza na Nchimbi toka mwanzo angalau beki zao zingeweza kujichanganya,kipindi cha pili Nchimbi alichoka lakini hakuna wachezaji wengine wa maanaForward kuwa Nchimbi heri kocha angeweka debe la viazi kwenye namba ya Nchimbi tungejua ni viazi
Lakini huyu Lyanga kocha alimwamini kwa kitu gani maana hata mechi na Zambia alikuwa mzigo kabisa lakini mechi zote kamwekaUnamuonea kipindi cha kwanza Nchimbi kacheza vizuri sema yule Lyanga ndio hamna kitu inamaana Mhilu angecheza na Nchimbi toka mwanzo angalau beki zao zingeweza kujichanganya,kipindi cha pili Nchimbi alichoka lakini hakuna wachezaji wengine wa maana
Ule msako ni sawa na wanakijiji kuushambulia mawe msafara wa rais tena (MEKO)hapo utegemee nini?wewe kila sekunde wako golini kwako!!nilijua tu kwa pressure ile lazima tu goli litarudi!!!kulinda goli nako kunahitaji mbinu!!usimuone mourino anaweza ukadhania ni kila kocha anaweza!!Watu wanawashambulia muda wote na nyie mna concède corner za kizembe, Korner karibu 10 chini ya robo saa unategemea nini.... hii timu ni takataka...
Nadhani alitaka kupika chipsi bila mafuta ya mo sasa akajikuta vinababuka tu. Itoshe kusema bm3 amerejea na staili mpya ya kushangiliaTatizo kocha kaweka viazi vya yanga kwenye foward
Majamaa walikuwa wanatafuta goli gaani unaona hawa wanaitaka quarter final.Watu wanawashambulia muda wote na nyie mna concède corner za kizembe, Korner karibu 10 chini ya robo saa unategemea nini.... hii timu ni takataka...
Sio tu mpira binafsi naamini hatuna watu wenye vipaji vya soka wewe angalia marefa,makocha,wachezaji wetu nk nk wangapi wako nchi za nje kulinganisha na nchi ndogo kama Burundi na Rwanda kwa mfano?Ka nchi ka dogo , Rwanda kamepambana kundi gumu mpaka kameingia robo fainali. Bongo mpira bado sana...
Umeongea ukweli...watu wanamkandiaga mourinho kapaki basi....pale kuna mbinu kali zinatumika.Ule msako ni sawa na wanakijiji kuushambulia mawe msafara wa rais tena (MEKO)hapo utegemee nini?wewe kila sekunde wako golini kwako!!nilijua tu kwa pressure ile lazima tu goli litarudi!!!kulinda goli nako kunahitaji mbinu!!usimuone mourino anaweza ukadhania ni kila kocha anaweza!!