longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
Ulitaka niwe na moral position gani ili niweze kupoint pale unapotoa matamshi yenye kulete mfarakano? Uungwana huwa haufundishwi!
Unajua ndugu huyo jamaa atakuwa anaasili ya kenya ndio maana inamuuma. Yeye hawa jamaa wanavyo leta madharau yao hapa anaona poa?Umeona ulivyo huna coherence?
Sasa kwanini kwenye post yako ya juu umesema tunapeleka watoto shule kujifunza ustaarabu , na siyo kufaulu mitihani: Sasa uungwana haufundishwi vipi?
Narudia tena,
Wakenya watakuwa wapumbavu wa kutupwa kama watakuwa hawataki kuambiwa ukweli na kukimbia historia ya taifa lao.
Haya jibu swali diplomasia ni nini?
Kama huwezi get a life pal.
This country is fed up to sustain cowards and intellectual door mats.
Sikuelewi hapo unaposema Truth against Diplomacy.
Diplomacy ni nini?
Hahaha umesahau kuimiliki ardh yote yakenyaKipindi hicho Babu yao Nyang'au Mkuu anahangaika na kujilimbikizia mali.
Hiyo namba 4 Natamani wajaribu kwa sasa wakione chamoto heheheHEBU TUCHEKI KENYA SASA:
1. Operesheni ondoa Ugaidi Somalia.
Its a simply a failure, Kenyan Boy Scouts are butchered like rats and casualties are devastating.
2. Africa nzima imekataa kushirikiana na Makabulu minorities wanaowatesa Waafrika Weusi Majority South Africans.
3. Africa ilikataa kufanya biashara na Seriakali Ya Ian Smith ya Southern Rhodesia inayowanyanyapaa Weusi. Ila Kenya ikafanya hivyo
4. Kenya walijidanganya kutaka kuivamia Tanzania mwaka 1981 kupitia visiwa vya Sheli Sheli wakisaidiana na Makabulu lakini haikuweza fanikiwa.
Hebu tajeni harakati zenu za Kimataifa tuone basi.
Sikubaliani naweMy Dear Bro bandiko lako ni la kweli lakini kufuatana na mission ya kujenga Economical EAC kwa sasa, halina tija!!
Mfumo wa kibepari uliongoza serikali ya Kenya, niateso kwa raia wa kawaida labda uwe umechomoza!!
Hivyo si kosa la Wakenya bali ni mfumo wa kibepari, hao ni ndugu zetu tuwalete karibu, wanajifunza utu kutoka kwetu!!
Unajua ndugu huyo jamaa atakuwa anaasili ya kenya ndio maana inamuuma. Yeye hawa jamaa wanavyo leta madharau yao hapa anaona poa?
Sasa hivi TZ tupo macho tutawaanika hadharani raia wetu waone jinsi gani jirani zetu walivyo wanafiki na wazandiki.
My Dear Bro bandiko lako ni la kweli lakini kufuatana na mission ya kujenga Economical EAC kwa sasa, halina tija!!
Mfumo wa kibepari uliongoza serikali ya Kenya, niateso kwa raia wa kawaida labda uwe umechomoza!!
Hivyo si kosa la Wakenya bali ni mfumo wa kibepari, hao ni ndugu zetu tuwalete karibu, wanajifunza utu kutoka kwetu!!
Hiyo namba 4 Natamani wajaribu kwa sasa wakione chamoto hehehe
Nasubiri kuona wakenya wakikanusha hili, ili na mimi niweze kuleta mrejesho yangu.
post za tz versus ke zimekuwa too much . Nyingi upuuzi mtupu. Mods wajibikeni.
kenya hawana mchango wowote zaidi ya kuiba sifa za tanzania wao kila utalii wanasema ni wao
mhh upuzz ckuiz mwingi sana duuh