Tanzania Vs Kenya: Contribution to African Unity and Pan Africanism

Tanzania Vs Kenya: Contribution to African Unity and Pan Africanism

Ulitaka niwe na moral position gani ili niweze kupoint pale unapotoa matamshi yenye kulete mfarakano? Uungwana huwa haufundishwi!

Umeona ulivyo huna coherence?
Sasa kwanini kwenye post yako ya juu umesema tunapeleka watoto shule kujifunza ustaarabu , na siyo kufaulu mitihani: Sasa uungwana haufundishwi vipi?

Narudia tena,
Wakenya watakuwa wapumbavu wa kutupwa kama watakuwa hawataki kuambiwa ukweli na kukimbia historia ya taifa lao.

Haya jibu swali diplomasia ni nini?
Kama huwezi get a life pal.
This country is fed up to sustain cowards and intellectual door mats.
 
Halafu umesahau kuomgelea visiwa vya comoro jinsi tulivyolifirumua gaidi lililotaka kupindua uongozi.

Ni nchi pekee Africa iliyobaki United.

Sasa hivi tunaenda kwenye kipindi cha pili cha kulikomboa bara la Africa. Economical liberation.

Hawa majirani wataendelea kujisifu tu. Lakini hawana lolote. Zaidi ya kuwa vibaraka wa watuweupe

Halafu kwa kuongezea. Jaji Warioba alikuwa mmoja wa wa africa walio simamia Zimbabwe mpaka ikawa huru na rais Mgabe akaingia madarakani.
 
Umeona ulivyo huna coherence?
Sasa kwanini kwenye post yako ya juu umesema tunapeleka watoto shule kujifunza ustaarabu , na siyo kufaulu mitihani: Sasa uungwana haufundishwi vipi?

Narudia tena,
Wakenya watakuwa wapumbavu wa kutupwa kama watakuwa hawataki kuambiwa ukweli na kukimbia historia ya taifa lao.

Haya jibu swali diplomasia ni nini?
Kama huwezi get a life pal.
This country is fed up to sustain cowards and intellectual door mats.
Unajua ndugu huyo jamaa atakuwa anaasili ya kenya ndio maana inamuuma. Yeye hawa jamaa wanavyo leta madharau yao hapa anaona poa?

Sasa hivi TZ tupo macho tutawaanika hadharani raia wetu waone jinsi gani jirani zetu walivyo wanafiki na wazandiki.
 
Sikuelewi hapo unaposema Truth against Diplomacy.
Diplomacy ni nini?

My Dear Bro bandiko lako ni la kweli lakini kufuatana na mission ya kujenga Economical EAC kwa sasa, halina tija!!
Mfumo wa kibepari uliongoza serikali ya Kenya, niateso kwa raia wa kawaida labda uwe umechomoza!!
Hivyo si kosa la Wakenya bali ni mfumo wa kibepari, hao ni ndugu zetu tuwalete karibu, wanajifunza utu kutoka kwetu!!
 
HEBU TUCHEKI KENYA SASA:

1. Operesheni ondoa Ugaidi Somalia.
Its a simply a failure, Kenyan Boy Scouts are butchered like rats and casualties are devastating.

2. Africa nzima imekataa kushirikiana na Makabulu minorities wanaowatesa Waafrika Weusi Majority South Africans.

3. Africa ilikataa kufanya biashara na Seriakali Ya Ian Smith ya Southern Rhodesia inayowanyanyapaa Weusi. Ila Kenya ikafanya hivyo

4. Kenya walijidanganya kutaka kuivamia Tanzania mwaka 1981 kupitia visiwa vya Sheli Sheli wakisaidiana na Makabulu lakini haikuweza fanikiwa.

Hebu tajeni harakati zenu za Kimataifa tuone basi.
Hiyo namba 4 Natamani wajaribu kwa sasa wakione chamoto hehehe
 
My Dear Bro bandiko lako ni la kweli lakini kufuatana na mission ya kujenga Economical EAC kwa sasa, halina tija!!
Mfumo wa kibepari uliongoza serikali ya Kenya, niateso kwa raia wa kawaida labda uwe umechomoza!!
Hivyo si kosa la Wakenya bali ni mfumo wa kibepari, hao ni ndugu zetu tuwalete karibu, wanajifunza utu kutoka kwetu!!
Sikubaliani nawe
Kuna wakuwaleta karibu sio hawa wakenya
Wakenya wanaroho mbaya mbaya
Hawatwki kuona jirani yoa yeyote akiendelea
Wapo radhi kukufanyia mambo ya hovyo kwa chuki zao.

Hapa karibuni Tanzania ilianza kuipiku kenya kwenye utalii
Lakini kenya kwa roho zao za kwanini walianzisha figisu Arusha kwa kulipua maeneo ya mapumziko na kutangaza haraka ni Magaidi yanaishambulia Tanzania

Si hivyo tu waliweza hata kuzuia magari ya Tz kuingia Nairobi kubeba watalii

Hawa nijirani tu ila sio wazuri
 
Unajua ndugu huyo jamaa atakuwa anaasili ya kenya ndio maana inamuuma. Yeye hawa jamaa wanavyo leta madharau yao hapa anaona poa?

Sasa hivi TZ tupo macho tutawaanika hadharani raia wetu waone jinsi gani jirani zetu walivyo wanafiki na wazandiki.

Ohoo,
Kumbeee?
 
My Dear Bro bandiko lako ni la kweli lakini kufuatana na mission ya kujenga Economical EAC kwa sasa, halina tija!!
Mfumo wa kibepari uliongoza serikali ya Kenya, niateso kwa raia wa kawaida labda uwe umechomoza!!
Hivyo si kosa la Wakenya bali ni mfumo wa kibepari, hao ni ndugu zetu tuwalete karibu, wanajifunza utu kutoka kwetu!!

My bro Mtumishi Wetu ,
Amini amini nakuambia suala la mfumo halina mashiko kabisa hapa.
Hebu, kuna nchi ngapi za Kibepari zanasaidia mataifa maskini na zina amini katika haki na usawa wa raia wake?
Mfano nenda nchi kama Scandinavia ujionee; zile ni nchi za kibepari lakini kuna utu,usawa,haki na wanaheshimu sana majirani zao.

On the other hand kuna mataifa yaliyowahi kuwa ya kijamaa lakini yalikuwa hayana utu kabisa,
Mfano Angalia Urusi kipindi cha Joseph Stalin na Leonid Brezhnev. Walivamia mataifa ya watu na mbaya Zaidi Stalin aliua mamilioni ya raia wake.

Sasa hapa Kenya mfumo wao ndiyo uwatoe ufahamu?
Mimi sitaki kuamini chanzo ni mfumo.
 
Nasubiri kuona wakenya wakikanusha hili, ili na mimi niweze kuleta mrejesho yangu.

Hawawezi hata siku moja,
History is a result of a long trend of socio-economic facts.
And facts need no opinion, they just stay as they are; so its just a matter of either taking or leaving them.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
post za tz versus ke zimekuwa too much . Nyingi upuuzi mtupu. Mods wajibikeni.
 
Real, Tanzania was dedicated for the well being of the Continent.
malcom-lumumba in this juncture, it is not proper to compare Tanzania with Kenya. Kenya had no place in struggle for PanAf coz most of the time seemed to be a papet of the enemies (like Malawi ya Banda).
Please Lumumba compare us with Ghana. That is why any where in the world once Tanzanian meets a Ghanian become friends and trust one another.
 
Mkuu umesahau na hii;
Kumtoa mvamizi nchini COMOROS
THE SLEEPING GIANT IS NOW AWAKE!!!!!
 
Back
Top Bottom