Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

Dk 85

Tan 1 - 1 Malawi

Hizi dakika za mwisho Stars wanatakiwa kupata goli maana wanajitahidi kupanga mashambulizi...
Wapate goli la nini bhana!? Wacha tufungwe tu, tushazoea.
 
mholanzi mmoja...

Kama ni mholanzi wamekosea sana kumpa timu ya taifa, watu kama hawa tungewatumia kuwafundisha wananchi mbinu za kupambana na mafuriko. Waholanzi ni mafundi sana wa kuondoa maji yanayojaa nchi kavu.
 
Nahodha wa Malawi Joseph Kamwendo ambaye anacheza na Samatta TP Mazembe anahojiwa na kusema Taifa Stars ni moja timu ngumu sana Afrika
 
Ohooooo! umeme wa tz huooooooo umeondoka..
Poor tanzania
 
Nahodha wa Malawi Joseph Kamwendo ambaye anacheza na Samtta TP Mazembe anahojiwa na kusema Taifa Stars ni moja timu ngumu sana Afrika

Anatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Wamalawi wakubali kuwa mpaka wa ziwa Nyasa uko katikati ya ziwa na siyo ukingoni upande wa Tanzania, nitawaona wa maana.
 
RwandAir wameingia hapa JF, wanatisha, wazee wa 'Fly Our Dream to the Heart of Africa'. Waenda Lusaka usafiri huo hapo.
 
Nahodha wa Malawi Joseph Kamwendo ambaye anacheza na Samtta TP Mazembe anahojiwa na kusema Taifa Stars ni moja timu ngumu sana Afrika

Bora atume salamu tu, asitufanye sisi ni wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…