Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

Dk 80

Tan 1 - 1 Malawi

Bocco anaingia na Ulimwengu katoka...
 
Kufungwa nyumbani siyo issue; issue ni nani kakufunga?

Anyway Malawi wako nafasi ya 91 sisi tuko nafasi ya 100 katika viwango vya FIFA hivyo wao ni bora kuliko sisi, acha watukandamize tu.
Tena mupigwe goli 3, sababu nyinyi mpirawenu mumebezi kwenye vilabu tu. Wenzenu wanatengeneza timu zao za taifa nyinyi vilabu tu.
 
Afadhal wamechomoa........
Manake kufungwa nyumban ni aibu sana.
 
Tena mupigwe goli 3, sababu nyinyi mpirawenu mumebezi kwenye vilabu tu. Wenzenu wanatengeneza timu zao za taifa nyinyi vilabu tu.
Kwan hata hivyo vilabu unavyosema vinafika wapi kwenye mashindano ya kimataifa!!!!
Labda ungesema ufisadi lakn kwenye mpira hamna kitu.
 
Dk 85

Tan 1 - 1 Malawi

Hizi dakika za mwisho Stars wanatakiwa kupata goli maana wanajitahidi kupanga mashambulizi...
 
Hivi CV ya huyo kocha ikoje, namwona kama sii kocha vile
 
Back
Top Bottom