Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Mrisho Ngasa........hahahaah. Nahisi unachotaka kusema.:eyebrows:Kapokea pande kutoka kwa nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrisho Ngasa........hahahaah. Nahisi unachotaka kusema.:eyebrows:Kapokea pande kutoka kwa nani?
Dada yeye ana alergy na Stars, mahaba yake kwa yanga tu.
ndo maana niliuliza kwa nini ngasa anakaa benchi...ila ukiuliza hivyo watu watasema naleta uyanga taifa!
Tena mupigwe goli 3, sababu nyinyi mpirawenu mumebezi kwenye vilabu tu. Wenzenu wanatengeneza timu zao za taifa nyinyi vilabu tu.Kufungwa nyumbani siyo issue; issue ni nani kakufunga?
Anyway Malawi wako nafasi ya 91 sisi tuko nafasi ya 100 katika viwango vya FIFA hivyo wao ni bora kuliko sisi, acha watukandamize tu.
Dk 80
Tan 1 - 1 Malawi
Bocco anaingia na Ulimwengu katoka...
ni mjinga mmoja hivi!
hivi tuna wachezaji wazuri sana kiasi cha kukosa muda wa kucheza!
JOHN BOCCO AMEINGIA MAHALA PA uLIMWENGU
Mzungu Bishoo anaitwa Mart Nooij sijui raia wa wapi huyu!!!?
Kwan hata hivyo vilabu unavyosema vinafika wapi kwenye mashindano ya kimataifa!!!!Tena mupigwe goli 3, sababu nyinyi mpirawenu mumebezi kwenye vilabu tu. Wenzenu wanatengeneza timu zao za taifa nyinyi vilabu tu.
Boko chupuchupu aipate stars goli la pili.
Ni zeruzeru wa taifa gani?