Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

Wakuu naomba mnipe matokeo ya mwisho. John Boko hajaongeza bao la ushidi?
 
Sijakuelewa mkuu...

kuna wachezaji ambao ningekuwa mimi ndo kocha wasingetokea benchi wangeanza...lkn unashangaa wachezaji wazuri wako nje...(sitawataja nisiambiwe nimekuwa bias)
 
Wale mashabiki wa mbaaali huko wanaanza kuondoka uwanjani...
 
Mbona mwenzake wa yanga anajua kufundisha mpira!!!!
Sijui kwann huyu amekuwa bishoo tu!

Kufundisha vilabu ni tofauti sana na kufundisha timu za Taifa, kama huamini kamuulize Maximo au Scolari.
 
Nipo mkuu, sema Rambaramba yangu naona inanivua vyeo kila leo. Hivyo nakua sina cha kujivunia mbele za watu, ndio maana hua napitaga kimya kimya.

Kitoabu acha kuniangusha...hicho ulichoshika mkononi ni cha kujivunia sana!!
 
Last edited by a moderator:
Mpira wa kwanza kugusa hajapata bao? Kama hajapata kwishney maana mpira wake ni wa kibahatibahati tu.

CC. Kitoabu: Ushindwe kabisa, hatupigwi 3 siye.
Munazali utafikiri mumelala na quine Elizabeth vile. Lkn gem haija isha hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Bocco haramu bado kwann hafanyi mambo hapa ccm kirumba?
 
Back
Top Bottom