mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Anatoka nchi moja na kocha wa Yanga.
Mbona mwenzake wa yanga anajua kufundisha mpira!!!!
Sijui kwann huyu amekuwa bishoo tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatoka nchi moja na kocha wa Yanga.
Nipo mkuu, sema Rambaramba yangu naona inanivua vyeo kila leo. Hivyo nakua sina cha kujivunia mbele za watu, ndio maana hua napitaga kimya kimya.
Sijakuelewa mkuu...
Mbona mwenzake wa yanga anajua kufundisha mpira!!!!
Sijui kwann huyu amekuwa bishoo tu!
Nipo mkuu, sema Rambaramba yangu naona inanivua vyeo kila leo. Hivyo nakua sina cha kujivunia mbele za watu, ndio maana hua napitaga kimya kimya.
Hahahahaah,,,,,,,,nani atakayewamaliza??Basiii, tumekwisha.
Dk 90
Tan 1 - 1 Malawi
Wale mashabiki wa mbaaali huko wanaanza kuondoka uwanjani...
Munazali utafikiri mumelala na quine Elizabeth vile. Lkn gem haija isha hiyo.Mpira wa kwanza kugusa hajapata bao? Kama hajapata kwishney maana mpira wake ni wa kibahatibahati tu.
CC. Kitoabu: Ushindwe kabisa, hatupigwi 3 siye.
Wakuu naomba mnipe matokeo ya mwisho. John Boko hajaongeza bao la ushidi?
muda wa nyongeza?!
kapiga shuti moja la hataribocco haramu bado kwann hafanyi mambo hapa ccm kirumba?
kipindi cha pili tumecheza kdg