Dk 40 bado Malawi wanaongoza kwa bao la kwanza
udhaifu wa viuongo unafanya washambulizi kushuka chini
Starz wanakaba kwamacho
kocha bishoo balaa, miwani jens kachomekea halafu hataki kuongea na waandishiHuyu kocha hamnakitu, kiungo kibovu huyu mwinyi alivyokua bongo mpira ulishaaisha, leo anamuanzisha na huyu Kiemba alikua bench simba. hapo ili timu ibadilike anatakiwa awatoe hawa wote, Frank dumayo , na mrisho ngassa. pia samatta na ulimwengu walitakiwa waingie kipindi cha pili.
kocha bishoo balaa, miwani jens kachomekea halafu hataki kuongea na waandishi
Kuna wachezaji kama watatu wakiingia wanaweza kubadilisha sana hii team, Frank Domayo, Abdi Banda na Mrisho Ngasa.