Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu huyu kocha, kiemba ameanza kuchemka kuanzia dak ya 1 ya mchezo hadi first half yote inaisha lakin kocha anaonekana bado hajagundua tatizo la kiungo. Bishoo tu huyu kocha ila hamna kitu.kocha bishoo balaa, miwani jens kachomekea halafu hataki kuongea na waandishi
kipi tena au umedandia kwa mbeleJamani tujuzen nn kinaendelea
umenikumbusha Logarius jana ndani ya dk 18 kafanya sub mbili japo alilala moja bilaMakocha wetu walivyo utaona wanafanya mabadiliko dk za lala salama
kipi tena au umedandia kwa mbele
mbona kila dk tunalkuletea matokeo?Juu ya matokeo hapo uwanjani
hakuna mabadiliko timu ya wenyewe hiiVipi hakuna mabadiliko yaliyofanyika wadau
Dakika ya 55, tz 0 Malawi 1
samata anawappangua na kupiga shuti toto