Tanzania Vs Senegal....Kenya Vs Algeria..

Jamani wabongo mbona mlituma team ya karatee kule,,,dah wanarusha tu mateke[emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hahaha, Kwakweli mchezo umekuwa mbaya sana,
Nawatakia kila la kheri wakenya walau mfanye jambo.
 
Shots on target ni zero bana, wachawi tunawasupport na tayari wameshaomba tushindwe [emoji23] [emoji23], this people tho

Hahahaha,
Usihofu, Tunawatakia ushindi, Au hata Sare.
Kila la Kheri Michael Olunga.
 
Kama timu ikifanyaga vizur wanasema ni juhudi za Serikali ya awamu ya tano basi hata ikifanya vibaya pia waseme vivyo hivyo....
 
Usiichukulie serious just utani wa jadi! Mkshindinda ni furaha kwetu wana EAC, manake sie na Burundi tushaoga yetu!
Ustaarabu huu? Mwanao akifariki usimuombee na wa jirani yamtokee ili muwe sawa [emoji23][emoji23]
 
We probably need to qualify as many times as possible,
Nachokiona hapa ni Kama hatuna kabisa uzoefu wa mashindano makubwa.
Kweli mkuu, big games and big stages zitatupa uzoefu. Kuchapa hawa African powerhouse ni kazi kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…