mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mfano uliotoa wa uhaini hauendani na wanachofanya hao mashabiki unaowasema. Ila kuliko kuwalaumu ni vizuri ungeanza na hoja ya msingi, ni kwa nini wanadhamiria kufanya hivyo?Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
Uhaini ni kuisaliti nchi na wao wamepanga kuisaliti nchiMfano uliotoa wa uhaini hauendani na wanachofanya hao mashabiki unaowasema. Ila kuliko kuwalaumu ni vizuri ungeanza na hoja ya msingi, ni kwa nini wanadhamiria kufanya hivyo?
Mashabiki wa Yanga wanazingua ,kama tatizo ni simba kujaa kikosi cha taifa stars basi ni mchezaji gani wao wa Yanga aingie huyo ya simba atoke ,tuacheni utani wachezaji wa yanga hafikii kiwango wa wachezaji wa simba walioitwa
Kushangilia timu ya taifa jingine siyo uhaini ila ni kitendo kibaya mno...Mimi ni Yanga ila siungi mkono uhamasishaji wa aina hiyo..ila Bila kumung'unya maneno TFF na baadhi ya mashabiki wa Simba na hata baadhi ya viongozi wa Simba ndio wanaojenga mazingira ya Taifa Stars kuchukiwa na baadhi ya wanayanga...TFF ya Karia ni ya hovyo kabisa...Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
Kwajinsi nilivyojaribu kufatilia hili sakata, Yanga hawana tatizo la uwingi wa wachezaji wa Simba kwenye kikosi cha timu ya taifa kwasababu tokea muda tu Simba inatoa wachezaji wengi timu ya taifa lakini hawakuwahi kupanga kushabikia taifa pinzani. Bali kinachowakeleketa nafsi ni ile kauli ya kocha wa Taifa stars. Imepelekea washabiki wa Yanga kuona kuocha anaipa ukubwa wachezaji na falsafa ya Simba kuliko timu zingine zote.Mashabiki wa Yanga wanazingua ,kama tatizo ni simba kujaa kikosi cha taifa stars basi ni mchezaji gani wao wa Yanga aingie huyo ya simba atoke ,tuacheni utani wachezaji wa yanga hafikii kiwango wa wachezaji wa simba walioitwa
Kitendo cha afisa habari wa simba na mjumbe wa kamati ya ushindi ya taifa stars haji manara kupost picha ya wachezaji wa simba peke yao wakifanya mazoezi mepesi kabla ya mechi na kuandika caption ya kinazi kimewauzi sana wapenzi wa yangaKwajinsi nilivyojaribu kufatilia hili sakata, Yanga hawana tatizo la uwingi wa wachezaji wa Simba kwenye kikosi cha timu ya taifa kwasababu tokea muda tu Simba inatoa wachezaji wengi timu ya taifa lakini hawakuwahi kupanga kushabikia taifa pinzani. Bali kinachowakeleketa nafsi ni ile kauli ya kocha wa Taifa stars. Imepelekea washabiki wa Yanga kuona kuocha anaipa ukubwa wachezaji na falsafa ya Simba kuliko timu zingine zote.
View attachment 1604228
kwani kwenye kamati ya uhamasishaji si yupo pia Hersi?kwann asiwapost wa Yanga tu?Kitendo cha afisa habari wa simba na mjumbe wa kamati ya ushindi ya taifa stars haji manara kupost picha ya wachezaji wa simba peke yao wakifanya mazoezi mepesi kabla ya mechi na kuandika caption ya kinazi kimewauzi sana wapenzi wa yanga
Kitendo iki ni kibaya sana na kinatengeneza matabaka katika timu ya taifa na kilipaswa kikemewe na tff na pia mpk dakika hii msemaji uyu ilipaswa awe ameshaomba radhi kwa watanzania wote wapenda mpira
Ushabiki wa simba na yanga unapaswa ubakie kwenye vilabu na usiingie kwenye timu ya taifa.Na viongozi mbumbumbu kama haji manara wasiotambua na kuheshimu mipaka ya nyazifa zao na taaluma zao wanapaswa wawe makini sana kwa kauli zao na matendo yao mbele ya jamii ya wapenda soka
Wapenzi wa yanga hawapaswi kulaumiwa kwa lolote bali tff inapaswa kuwajibika katika hili na kubeba lawama zote
Tanzania kwanza! simba na yanga badae!View attachment 1604415
Umemsahau na jerry muro ndani ya kamati....ila jerry na hersi ni viongozi wanaojitambua..hawawez kutengeneza matabaka kwenye timu ya taifa kwa ajili tu ya kuongeza viewers na foĺlowers kama ule msukule wa matopeni unaovaa suti na tai.kwani kwenye kamati ya uhamasishaji si yupo pia Hersi?kwann asiwapost wa Yanga tu?
Hao mashabiki wanaotaka kushabikia Tunisia na washabikie tu hakuna kiwapa attention.
CCM wanavuruga kila kituYule Raisi wa TFF ni kada wa CCM.
Wenzetu wanajengewa mahekalu Masaki na Kawe Beach, halafu Mimi nikashangilie utopolo, pumbavu.Watanzania wanatakiwa kuhamasishana kuishangilia timu ya Taifa. Wachezaji wanatakiwa kuona kwamba kuchezea timu ya Taifa sio tu ni fahari bali ni fursa kubwa ya kuonekana na vilabu mbalimbali duniani.
Ligi yetu bado haijawa kubwa ni kama tunacheza chandimu, mchezaji akipata nafasi ya kucheza timu ya Taifa Mawakala wengi wa kimataifa wanafatilia wachezaji kuliko mkicheza kwenye Ligi ambako Mawakala wanao fuatilia ni wachache.
Wachezaji wetu wajue huu mpira wetu apa bongo ni kama ndondo cup, wapambane waondoke apa wakalipwe vizuri katika soka Uko nje.
sawa tu.Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
Mfano uliotoa wa uhaini hauendani na wanachofanya hao mashabiki unaowasema. Ila kuliko kuwalaumu ni vizuri ungeanza na hoja ya msingi, ni kwa nini wanadhamiria kufanya hivyo?