Tanzania vs Tunisia: Watakachokifanya mashabiki wa yanga ni uhaini kwa nchi

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
 
Watanzania wanatakiwa kuhamasishana kuishangilia timu ya Taifa. Wachezaji wanatakiwa kuona kwamba kuchezea timu ya Taifa sio tu ni fahari bali ni fursa kubwa ya kuonekana na vilabu mbalimbali duniani.

Ligi yetu bado haijawa kubwa ni kama tunacheza chandimu, mchezaji akipata nafasi ya kucheza timu ya Taifa Mawakala wengi wa kimataifa wanafatilia wachezaji kuliko mkicheza kwenye Ligi ambako Mawakala wanao fuatilia ni wachache.

Wachezaji wetu wajue huu mpira wetu apa bongo ni kama ndondo cup, wapambane waondoke apa wakalipwe vizuri katika soka Uko nje.
 
Mfano uliotoa wa uhaini hauendani na wanachofanya hao mashabiki unaowasema. Ila kuliko kuwalaumu ni vizuri ungeanza na hoja ya msingi, ni kwa nini wanadhamiria kufanya hivyo?
 
Mashabiki wa Yanga wanazingua ,kama tatizo ni simba kujaa kikosi cha taifa stars basi ni mchezaji gani wao wa Yanga aingie huyo ya simba atoke ,tuacheni utani wachezaji wa yanga hafikii kiwango wa wachezaji wa simba walioitwa
 
Ushabiki wa soka una mambo mengi na hampaswi kuwachagulia watu ni kipi cha kushabikia. Lakini pia kuna wakati watu wanazomea timu zao za taifa siyo kwa sababu ya vilabu wanavyotoka ila kutokana na kile wanachokifanya uwanjani. Kuna wakati Italy ilifanya vibaya kwenye mashindano wakatolewa, airport walikaribishwa na nyimbo zilizowaita ni walemavu wa akili na mwili.
Mashabiki wa Yanga wanazingua ,kama tatizo ni simba kujaa kikosi cha taifa stars basi ni mchezaji gani wao wa Yanga aingie huyo ya simba atoke ,tuacheni utani wachezaji wa yanga hafikii kiwango wa wachezaji wa simba walioitwa
 
Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
Kushangilia timu ya taifa jingine siyo uhaini ila ni kitendo kibaya mno...Mimi ni Yanga ila siungi mkono uhamasishaji wa aina hiyo..ila Bila kumung'unya maneno TFF na baadhi ya mashabiki wa Simba na hata baadhi ya viongozi wa Simba ndio wanaojenga mazingira ya Taifa Stars kuchukiwa na baadhi ya wanayanga...TFF ya Karia ni ya hovyo kabisa...
 
Mashabiki wa Yanga wanazingua ,kama tatizo ni simba kujaa kikosi cha taifa stars basi ni mchezaji gani wao wa Yanga aingie huyo ya simba atoke ,tuacheni utani wachezaji wa yanga hafikii kiwango wa wachezaji wa simba walioitwa
Kwajinsi nilivyojaribu kufatilia hili sakata, Yanga hawana tatizo la uwingi wa wachezaji wa Simba kwenye kikosi cha timu ya taifa kwasababu tokea muda tu Simba inatoa wachezaji wengi timu ya taifa lakini hawakuwahi kupanga kushabikia taifa pinzani. Bali kinachowakeleketa nafsi ni ile kauli ya kocha wa Taifa stars. Imepelekea washabiki wa Yanga kuona kuocha anaipa ukubwa wachezaji na falsafa ya Simba kuliko timu zingine zote.

View attachment 1604228
 
Kitendo cha afisa habari wa simba na mjumbe wa kamati ya ushindi ya taifa stars haji manara kupost picha ya wachezaji wa simba peke yao wakifanya mazoezi mepesi kabla ya mechi na kuandika caption ya kinazi kimewauzi sana wapenzi wa yanga
Kitendo iki ni kibaya sana na kinatengeneza matabaka katika timu ya taifa na kilipaswa kikemewe na tff na pia mpk dakika hii msemaji uyu ilipaswa awe ameshaomba radhi kwa watanzania wote wapenda mpira
Ushabiki wa simba na yanga unapaswa ubakie kwenye vilabu na usiingie kwenye timu ya taifa.Na viongozi mbumbumbu kama haji manara wasiotambua na kuheshimu mipaka ya nyazifa zao na taaluma zao wanapaswa wawe makini sana kwa kauli zao na matendo yao mbele ya jamii ya wapenda soka
Wapenzi wa yanga hawapaswi kulaumiwa kwa lolote bali tff inapaswa kuwajibika katika hili na kubeba lawama zote
Tanzania kwanza! simba na yanga badae!
Screenshot_20201018-224524.jpg
 
Tanzania kwanza! simba na yanga badae!View attachment 1604415
kwani kwenye kamati ya uhamasishaji si yupo pia Hersi?kwann asiwapost wa Yanga tu?
Hao mashabiki wanaotaka kushabikia Tunisia na washabikie tu hakuna kiwapa attention.
 
Umemsahau na jerry muro ndani ya kamati....ila jerry na hersi ni viongozi wanaojitambua..hawawez kutengeneza matabaka kwenye timu ya taifa kwa ajili tu ya kuongeza viewers na foĺlowers kama ule msukule wa matopeni unaovaa suti na tai.
 
Watanzania wanatakiwa kuhamasishana kuishangilia timu ya Taifa. Wachezaji wanatakiwa kuona kwamba kuchezea timu ya Taifa sio tu ni fahari bali ni fursa kubwa ya kuonekana na vilabu mbalimbali duniani.

Ligi yetu bado haijawa kubwa ni kama tunacheza chandimu, mchezaji akipata nafasi ya kucheza timu ya Taifa Mawakala wengi wa kimataifa wanafatilia wachezaji kuliko mkicheza kwenye Ligi ambako Mawakala wanao fuatilia ni wachache.

Wachezaji wetu wajue huu mpira wetu apa bongo ni kama ndondo cup, wapambane waondoke apa wakalipwe vizuri katika soka Uko nje.
Wenzetu wanajengewa mahekalu Masaki na Kawe Beach, halafu Mimi nikashangilie utopolo, pumbavu.
Nani asiyetaka kukaa prime area? Hai mnaowajengea mahekalu ndio watawashangilia
 
Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
sawa tu.
 
Wanafanya hivyo kwa upumbavu tu hakuna lolote

Back
Top Bottom