Tanzania vs Zambia | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 06 May 2025

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Full time Tanzania 0 - 1 Zambia


Ni siku nyingine tena katika Group A team ya Taifa ya Tanzania U-20 aka Ngorongoro Boys wakikipiga katika uwanja wa Suez Canal na team ya Taifa ya Zambia, kuanzia saa 12 jioni.

Hadi sasa Ngorongoro Boys hawajapata ata point moja wala goli moja baada ya kupoteza kwa South Africa na Sierra Leone, ivyo tunashika mkia katika Group A lenye team 5.

Mechi ya leo na mechi ijayo dhidi ya wenyeji Egypt itatoa mustakabali wa hawa vijana wetu.

Kila lakheri.
 
Tunanyolewa tena leo
 
Wachezaji wanaingia uwanjani mdogo mdogo hapa
 
Dk ya 40 bado 0-0
 
4-3-3 haina maajabu
 
Kuna sub hapa zimefanyika
 
Uzembe kidogo tupigwe
 
Tumekosa kosa fahk
 
VAR mbaya kuja kwetu il imepita
 
Aisee kuna goli linatafutwa hapa
 
Tumefanya sub hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…