Tanzania vs Zambia | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 06 May 2025

Tanzania vs Zambia | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 06 May 2025

Screenshot_20250506-192129.png
 
Tumepoteza mpira vibaya sana
 
Wamefanya kaunta mija ila beki 2 yetu imesimama wima
 
Zambia wakitoka na Draw watakua pazuri kuliko sis
 
Faulo kuja kwetu, pabaya kidogi
 
Ilikua kali na mbaya sana ila kipa kacheza, safi GK
 
Beki 2 kila mechi anajifanyisha kaumia anataka sympathy sijui kutoka kwa nani? Anapoteza muda
 
Dah ilikua goli ili madogo hawajatuliza akili
 
Boli tunalipeleka magoli sasa
 
Tuna striker za kifala sana
 
Aisee Mpemba GK katoa mshale huo
 
Kuna mtu anakula umeme sio muda hapa.. VAR inaangaliwa kuona kama handball ila hamna kitu
 
Madogo wapunguze papara wakiwa karibu na goli
 
Back
Top Bottom