Tanzania vs Zambia | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 06 May 2025

Tanzania vs Zambia | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 06 May 2025

Tunapigwa sio muda, beki zetu zinajisahau
 
Dakika ya 78 nazidi kusema chance zimetengenezwa nyingi ila hatuna strikers
 
Wanampa umaarufu tu GK wa Zambia
 
Mpira ungeenda hivi tokea day 1 tungekua mbali
 
Kona hapa kuja lango la Zambia
 
Dah header kidogo ilete goli
 
Imepigwa papasu hapa ila hatujafunga
 
Kona hii hapa.. dakika za majeruhi
 
VAR inaangaliwa kama ni handball faida kwetu
 
Beki fala sana kidogo alete penalty isio na ulazima
 
Bado dk 2 tupate point 1
 
Nashauri tungeruhusu goli tuvunje rekodi ya kutokua na point
 
Back
Top Bottom