Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Pamoja na maombi tuzingatie ushauri wakunawa maji tiririka kwa sabuni, kuepuka misongamano, kutozurura hovyo, kutosalimiana kwa mikono na kukaa umbali wa mita 2 toka kwa mtu unaeongea nae. MUNGU aturehemu sisi waja wake. Kwa jina la yesu kristo, amen.
 
Wanakumbuka shuka asubuhi watu kila siku tumekuwa tukipiga kelele humu communication strategy ya serikali ni hafifu na hata packaging yenyewe ya information is not enough to induce intended behaviour change kipindi hiki.

Isitoshe hili kitu kiingie kichwani inahitaji constant reminder kuzunguka kwa magari kutoa elimu sawa, but that is not enough ppl need to be bombarded with the right message mpaka somo lieleweleke more communication channels need to be added (ingelikuwa nyimbo ya CCM ya kampeni za wangeakikisha wote tunaimba, hila Corona awahitaji nguvu hizo kutoa somo).

Creativity is needed; wengi amuwaoni hawa watu for what they are lakini a majority ya watu tunaoita wataalamu magumashi kweli.

Vitu wanavyotakiwa kufanya mapema wao wenyewe kutokana na elimu yao mpaka wakumbushwe na wadau wa maendeleo tunapowaambia sisi wanadhani tunajiropokea tu.
 
Uzuri wa Mwenyezi Mungu huwa hapotezi muda wake Kusikiliza Maombi ya Kinafiki kutoka kwa Mwamba wa Unafiki nchini.
Unakuta Makonda na Hapi na Gambo wotr hao ni wakristo na jerry Muro na Ndugai na na Bulembo na Kessy wanaomba Mungu nao wakati wao siki zote wanawaza visasi kwa watesi wao.Mungu ndo atajibu kwa staili ya ajabu.Mpaka kufikia jumatatu tutakuwa tunashangaa tu kama kuku wenye kideli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafanya dhihaka kwa mola wako

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu usimtishe. Mkuu alichoandika ni dalili za kuchoshwa na kukosekana kwa uwajibikaji toka serikalini.

Mbona jambazi hatumfanyii maombi.

Kwa ufupi mkuu tupo wengi tunaokereka mno na mwenendo mgeni huu ambao hatuutegemea kabisa tokea serikalini.
 
Waziri alitahadharisha hili jambo. Hatujafikia peak bado.

Wiki hii na wiki ijayo ndio itatupatia picha halisi ya tatizo.

Hafi ufikoa May tutakua tumefikia peak na maambukixi yataanza kupungua iwapo tu tutacbukua tahadhari kama za Uganda.

Maombi hayana nafasi sasa.
Bila lockdown, huwezi kukata mnyororo. Ndivyo uzoefu unavyoonesha kwa mataifa mengine.

Mataifa yote yaliyoathirika sana, wanatoa projections zao za ugonjwa kupungua kwa kuhesabia kuanzia tarehe waliyoweka lockdown.

Ukiweka lockdown leo, una uhakika baada ya wiki 3, waliokuwa wameambukizwa wote watakuwa wamegundulika. Utaendelea kugundua maambukizi makubwa kwa hizo wiki 3, lakini baada ya hapo maambukizi huaanza kushuka.

Bila lockdown, haitatokea maambukizi kupungua. Labda kama tunataka wenye kufa wafe, na wenye kupona wapone.
 
Back
Top Bottom