Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Watanzania tu wabishi. Tutakwisha. Kutoka mgonjwa 1 hadi 131 ndani ya mwezi, si utani.
 
Bado mashindano ya kutanganza waathirika yanaendelea sijui yana tija gani. Wangapi wamepona? Bado nasimamia pale pale dunia nzima ime overeact na huu ugonjwa.
Subiri yakukute kama unadhani ni utani ndipo utakapo amini kuwa tatizo ni kubwa kuliko unavyofikiria!
 
Ugunjwa hatuna mbona TZ ..tuna ugonjwa tu

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Wana lipi? Tuanzie kwa bwana mkubwa Trump, unajua kuwa kabanwa sana kwa kisingizio kashindwa handle hii ishu vizuri?
Uzembe uzembe Kama alivyofanya Magufuli,at least Trump alifanya uzembe wakati wanajiweza sasa sisi spana mkononi harafu mzembe mmoja anafanya uzembe kwa tamaa tu za kijinga na kutodhamini utu wa watu tutalia sana, tulianza na mloganzila,sasa tumehamia Amana tutafika tu mpaka tutalaza watu uwanja wa taifa
 
Roving Journalist,
Jamani hii mbona tatizo sana kwa tanzania graph line inazidi kupanda na W.H.O wametoa predictions zao kuwa miezi 4 ijayo afrika cases zinaweza fikia 10 millioni je jiulizeni tutasalimika kweli?

Je, hatutaanza kudondoka mitaani na kujifia kwa kukosa huduma? Aise wanajamii forums wezangu tuombeane tusipungue humu.
 
Waziri huyu mjanja mjanja sana. Mwishon mwa tangazo anasema wagonjwa wote wanaendelea vizuri lakin wagonjwa wanne wapo chumba cha uangalizi maalum wakiwa pia na maradhi mengine. Anataka kutuaminisha kwamba hao wanne hata wakifa tuamin maradhi mengine ndio yaliyowaondoa. Kweli bongo bahati mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom