Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Hao akina Mseveni na Kenyatta je wamefanikiwa kuzuia maambukizi? Kila nchi inafanya mikakati yake ya kuzia maumbukizi. So far hakuna njia iliyothibitishwa kuwa inazuia maambukizi kwa 100%. Mekariri kufunga mipaka utadhani ndio suluhisho la maambukizi. Suluhisho sahihi ni kumuomba Mungu na kufuata njia sahihi za kujikinga na maambukizi. Hivi virusi havina boundaries aisee. Utawafungia watu ndani lakini njaa itawatoa nje. Hakuna anayeweza kuvumilia kukaa ndani huku ana njaa.
Nje utaenda kufanya Nini Wakati wenzako wako ndani?

Hatujaamua tu k kujifunza kwa yanayotokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi serikali haioni kama hili ni tatizo kubwa? Dar es salaam ipigwe rock haraka iwezekanavyo hakuna mtu kutoka wala kuingia ndani ya huo mkoa. wasipofanya hivyo mwezi ujayo itakuwa habari mbaya zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1587132946349.png

1587132999546.png
 
He he! Kwa wataalum taarifa ya mopao ile Jana tu ya kusali tukajua hapa Kuna nati zimelegea!
Ukikosa wa kusingizia jisingizie hata wewe maana hata shetani kashikwa na bumbuwazi! Anajiuliza yeye na korona nani shetani 😜
 
We unasema mdudu,ulishajiuliza kuhusu mikate,ile huwa inapikwa ikiiva inaachwa ipoe,Kisha mfanyakazi anashika mkate mmoja baada ya mwingine kupitishia kwenye mashine ya kukata silesi,Kisha kuiweka kwenye mifukoni na kuiweka dukani,wewe utakuja kununua na italiwa bila hata kupitisha kwenye microwave.
Sasa itokee muhudumu mmoja Ana mafua ya corona,,,balaa lake....

Wasiwasi ni mbaya sana watu hata hela wanazifua
Mkuu hali inatisha na haujui huyu Corona kajificha wapi
Ni mwendo wa kusafisha kila kitu
Jana nimeenda kununua mahitaji ya siku mbali na kuosha kila kitu hata mifuko nimeitupa kwenye bin [emoji1005]
Hakuna ku risk maisha hapa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Okay, hulazimishwi kuichukua, ngoja wenzako waione
Mimi sijaipinga ila kuna taaratibu huwa zinafuatwa mpaka kitu fulani kuwa recommended.

Haiwezekani njia best na rahisi kiasi hiki ya kuangamiza Corona ipatikane alafu wizara ya afya ya China isiwashirikishe WHO
 
Back
Top Bottom